GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Dunia hii kiongoz anapojiskia yuko juu ya sheria lazima aharibu.
Hata mfalme Daudi alichemka. Kama mifumo ya kuwadhibi viongoz haitakaa kwenye nafasi tutarajie mengi sana.
Hili jambo limeleta picha ya aina yake kakweli.
 
Hiyo familia kwasasa ikiamua kila mwanafamilia atafute jimbo lolote hapa Tanzania lazima aatapitishwa bila kupingwa. Tunakoelekea hii nchi itakuwa mali ya familia ya Kikwete.
 
Hakuna jinsi kiongozi maana mtu kama huwezi kushindana nao ni vyema kuwaunga mkono
Kweli kabisa ndio maana akina Esther Bulaya, Esther Matiko, Joshua Nassari et al waliamua kujiunga CCM baada ya kuona hawaiwezi! 👍👍👍👍!!!
 
Huna akili ww!
 
Familia inakula nchi wengine mnabaki kutumika tu
Hiyo ipo dunia nzima dogo! Ndio maana sisi watu wa lugha ya Kiswahili tunataka kuubadili msemo ule wa "Aliyeko juu mngoje chini" uwe "ALIYEKO JUU MFUATE HUKO HUKO"! Ushahidi unao! Ahahahahaha!!!
 
Ndio maana tunaimba No reform no election
Ni haramu Baba, Mama na Mtoto kuwa wanasiasa na hatimaye kuwa viongozi?
Mbona kwenye kada nyinginezo mambo ni shwari na hakuna ngenga!

Baba anaweza kuwa mfanyabiashara na watoto wake kadhaa akawapa umeneja/ukurugenzi kwenye kampuni zake. Na hata wakawa wafanyabiashara wakubwa kumzidi baba yao. Mkulima familia yake yote ikawa wakulima na hakuna shida. Mbona huku kwenye siasa mambo huwa tofauti ama ni nongwa au ugumu wa maisha? Jamani ukiwa Mzazi basi ujuwe wale wa chini yako kwenye familia role model wao ni wewe. na kile ukifanyacho kwao ndio kitu bora cha ndoto zao wakikuwa. Huwezi kuwa mwanasiasa mwanao akatamani kuwa mkulima lazima atatamani kufanya siasa ili aje kuwa bora kama wewe baba yake. Acheni nongwa, unalalamika familia ya Kikwete kuwa vingozi wakati serikali ya kijiji mtaani kwenu haumo hata kwenye kamati ya ardhi? Aakh...!!!
 
....Unaishi Chalinze Mkuu, na Unaamini kabisa unyosema ?

Sio Tamaa ndugu yangu ? Baba anapokea asilimia 80 ya mshahara wa Raisi aliye madarakanI. Mama anapokea mshahara wa mbunge Milioni 16 Kwa Mwezi na anapokea pia Pensheni ya mke wa Raisi mstaafu ambayo alioomba Bungeni na Mtoto anapata mshahara wa mwezi wa Mbunge Milioni 16 na mshahara wa Waziri sijui ni Milioni ngapi!

Tuwe na Kiasi.....!
 
Maneno matupu hayasaidii kitu, maombi hayasaidii kitu!

Ingia barabarani ankali.
 
Na kumbe haya ndo matokeo ya yale mabdiliko ya katiba yao ya kishenzi kabisa. Kamati kuu ina uwezo wa kuteua na wanawaletea maana nyie wanachama wa kawaida hamna akili eti. Yaani hawa jamaa wameamua kuwaona wanachama wao kama wavuta bange, hamnazo. Mmenyanganywa haki yenu maxima na chama kimechukuliwa mateka na wahuni.

Mmebaki kuwa kama mbuzi tu wa kuchungwa na kuchinjwa.
 
Maana nisije kumlaani mtu kwa ushenzi kumbe wagombea wenyewe hawakujitokeza .
Kuna sehemu either kwa kuona ukuu wa mtu wengine wanaona hawawezi kushindana naye.
Wenye taarifa kamili ya orodha ya wagombea wa majimbo hayo mawili naiomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…