Sawa mkuu mm mpumbavu,Pumbavu mkubwa wewe
Tafuta chimbo ulambe asali acha wivu
Kweli kabisa ndio maana akina Esther Bulaya, Esther Matiko, Joshua Nassari et al waliamua kujiunga CCM baada ya kuona hawaiwezi! 👍👍👍👍!!!Hakuna jinsi kiongozi maana mtu kama huwezi kushindana nao ni vyema kuwaunga mkono
Huna akili ww!Ktk suala la ubunge au uongozi wowote huwa ni karma aliyopewa mtu na mwenyezi Mungu,Hata kama ukiwa mke au mtoto wa rais kama huna karma hata usaidiwe vipi huwezi kutoboa.
kwa hiyo familia ya kikwete wana karma za uongozi ndio maana unawaona leo.nikuhakikishie hawakupitishwa kwa influence za rais mstaafu.
hongera zao
Hiyo ipo dunia nzima dogo! Ndio maana sisi watu wa lugha ya Kiswahili tunataka kuubadili msemo ule wa "Aliyeko juu mngoje chini" uwe "ALIYEKO JUU MFUATE HUKO HUKO"! Ushahidi unao! Ahahahahaha!!!Familia inakula nchi wengine mnabaki kutumika tu
Ni haramu Baba, Mama na Mtoto kuwa wanasiasa na hatimaye kuwa viongozi?Ndio maana tunaimba No reform no election
😄😂😂😂🫣🤭Polepole alikuwa anafukiza moshi ili wahuni wote watoke,nadhani ndio hawa sasa,aongeze matakataka ili moshi uzidi
Lkn upande mwingine inasikitisha kwa waliokatwa hasa bumbuliKwa uprezidaaa wa bongo ni wa kifamilia hivyo haitashangaza mkuu
....Unaishi Chalinze Mkuu, na Unaamini kabisa unyosema ?Kufuatia majina ya waliopitishwa na uongozi wa juu wa ccm pale Dodoma.
Jimbo la Mchinga kapita mama Salma Kikwete pekee hana mpinzani.
Jimbo la Chalinze kapita Ridhiwani Kikwete maana hakuna aliyejitokeza kuchukua form.
Hakika huu ni uthibitisho kuwa hawa wabunge waliwatumikia wananchi wa sehemu hizo kwa asilimia 100.
Nichukue nafasi hii kuwapongeza.
Ni huzuni kubwa kwa kweliKwa uprezidaaa wa bongo ni wa kifamilia hivyo haitashangaza mkuu
Maneno matupu hayasaidii kitu, maombi hayasaidii kitu!Nchi imegeuzwa uongozi wa kifamilia!, utawala wa kifalme!, akitoka baba arithi mtoto?, mama, mjukuu n.k
Hivi mnatuonaje watanganyika?!
Hata kama sisi sio wajinga kihivyo...hili linawezekanaje?! Ni kwa bahati mbaya?!
Hawa hawajawekwa kwa bahati mbaya! Tunapoelekea ni giza nene
Familia inaenda kutawala hii nchi milele!
Kwa hili hata mpumbavu anaelewa ni nini kiko nyuma ya pazia!
Mene mene tekeri na peresi, MUNGU ATAJIBU MAOMBI!
Woga wenu mtaji wao.Mkuu kwahiyo sisi kina kajamba nani hatuna haki ya kupata keki ya taifa?