Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.
Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.
Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?
Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?
Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.
Mjadala.