Familia ya kina Polepole ipongezwe. Haitaki kumuachia Mungu. Ndivyo inavyotakiwa

Familia ya kina Polepole ipongezwe. Haitaki kumuachia Mungu. Ndivyo inavyotakiwa

Hata sisi watanganyika wazalendo tunampambania hamphrey polepole.tarehe daba mwezi wa saba tunakinukisha tena mara miamoja ya tulivyokinukisha kwenye Mo29 ili tujue ukweli kuhusu kutekwa kwa polepole na wengine zaidi ya miambili ambao hawaonekani.
 
Wanajilaumu sana, kaenda kuongeza chumvi kwenye kidonda,
Ikiwezekana asirudi tu, hata kama sio serikali itakayomdhuru, Kuna makundi yamejipa kazi ya kuadhibu wanaopinga serikali, rejea kundi la Shehe Mwaipopo la mbwa mwitu
Hilo kundi la uyo sheikh unafikiri limejipa kazi lenyewe? Litakuwa limepewa na allowances linapata. Isingekuwa hivyo lingeshawekwa kizuiani
 
Hamjambo!

Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.

Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.

Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?

Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?

Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.

Mjadala.
Familia imesema polepole aliingia nchini lini kutokea Cuba, alipitia bandari,mpaka au uwanja gani wa ndege?
 
Hamjambo!

Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.

Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.

Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?

Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?

Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.

Mjadala.
Sijui hao waliofanya ya kumpoteza Polepole wanajisikiaje.
 
Hatari sana
Naam, ni wakati sasa tuangalie mbele familia wanatakiwa tarehe 6 ndio iwe kumbukumbu ya mwanafamilia wao kuuwawa, waangalie sasa way forward nyingine kwa sasa mwanga umeanza kuonekana hawajakubali kuliacha lipite , maana yule mwingine alikua anakuja na maneno mengi tu wakiamua kumlipia kaka yao kisasi mimi siwezi pia kushangaa wana haki hiyo.
 
Kitu pekee ambacho kitawaogopesha watekaji ni ile spirit waliyonayo hiyo Polepole Family. Kwani inajenga awareness na kuchochea familia zingine kuiga mfano
 
Mkuu kuna msemo unasema

"Dead men tell no tales".

Msemo huo na unaishi japo wanaotakiwa kuusemea sana hawapo

Itoshe kusema nilichokiandika sijakikosea na kinabaki hivyo hivyo.
Polepole alikuwa kiongozi,yalpokuwa yakiwakuta wengine yeye aliona kuwa HAYAMHUSU pengine hata ndunguze pia,lkn leo hii yanawahusu ndugu zake ambao hawakuwahi kuonekana kupinga dhuluma ya uhai na haki ya kuonwa na ndugu,marafiki wakiwemo marafiki wa waliokuwa wakitekwa enzi zile.

Ona,leo kupotea kwa Polepole hakutofautiani na kupotea kwa Mdude Nyagali viumbe ambao maisha yao hayakuwahi kukaribiana hata kidogo. Tuyapinge tu haya mambo ya UKATILI bila kujali itikadi na imani zetu.
 
Back
Top Bottom