Familia ya kina Polepole ipongezwe. Haitaki kumuachia Mungu. Ndivyo inavyotakiwa

Familia ya kina Polepole ipongezwe. Haitaki kumuachia Mungu. Ndivyo inavyotakiwa

Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?

Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.
Hii ilibidi liwe la watanzania wote sio hao ndugu zake peke yao hili suala ni la wote,
 
Back
Top Bottom