Familia ya kina Polepole ipongezwe. Haitaki kumuachia Mungu. Ndivyo inavyotakiwa

Akirudi awe makini sana, nchi inawatu walioko juu ya sheria, wana mamlaka hadi juu ya uhai wa wengine, na hawogopi chochote,
Wakiogopwa ndiyo wanazidisha. Get informed: lengo lao kuu ni kutisha watu kwa kuua. Wawe makini, ni sawa, lakini wasiogope. Familia zote zingekuwa hivi wangeogopa.
 
Hamjambo!

Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.

Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.

Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?

Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?

Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.

Mjadala.
Wahuni wanatupeleka pabaya sana ,yaani naona ipo siku kuna kiongozi atakuja kula chuma hadharani kwa chuki alizozitengeneza za kuua ndugu za watu....Hiyo siku ndiyo itakuja kubadilisha maindset za wahuni na kuanza kutenda haki.
 
Polepole alikuwa kiongozi,yalpokuwa yakiwakuta wengine yeye aliona kuwa HAYAMHUSU pengine hata ndunguze pia,lkn leo hii yanawahusu ndugu zake ambao hawakuwahi kuonekana kupinga dhuluma ya uhai na haki ya kuonwa na ndugu,marafiki wakiwemo marafiki wa waliokuwa wakitekwa enzi zile.

Ona,leo kupotea kwa Polepole hakutofautiani na kupotea kwa Mdude Nyagali viumbe ambao maisha yao hayakuwahi kukaribiana hata kidogo. Tuyapinge tu haya mambo ya UKATILI bila kujali itikadi na imani zetu.
Naam, mfumo ule ule ambao Polepole hakuuona kama ni hatari ndio umempoteza.

Heche alisema ungewahi kumwambia Polepole utatekwa mwaka 2020 angecheka na kukuona wewe ni mwendawazimu ila miaka 5 mbele mfumo ule ule umempoteza yeye.

Udhalimu hauna rangi mimi naungana na wewe kuukemea maana hata hao machawa wanasifia mfumo mbovu kunufaisha matumbo yao familia zina majonzi tangu October 29 wao wanasema vijana walilipwa mara wengine wasioonekana walijiteka.

Nia ajabu tangu October 29 kama nchi hakuna hatua yoyote ya maana imefanyika kujisahihisha kwa makosa yale zaidi ya machawa wa mfumo mbovu kuzidi kuchochea chuki huku wakiamini hayatawahi kujirudia tena kama yale ya October 29.
 
Wahuni wanatupeleka pabaya sana ,yaani naona ipo siku kuna kiongozi atakuja kula chuma hadharani kwa chuki alizozitengeneza za kuua ndugu za watu....Hiyo siku ndiyo itakuja kubadilisha maindset za wahuni na kuanza kutenda haki.

Ni kweli. Haya mambo yanatakiwa kurekebishwa hata kwa kuzuga zuga tuu.
Sasa ishu ni nani wa kumuangushia jumba bovu?
 
Polepole alikuwa kiongozi,yalpokuwa yakiwakuta wengine yeye aliona kuwa HAYAMHUSU pengine hata ndunguze pia,lkn leo hii yanawahusu ndugu zake ambao hawakuwahi kuonekana kupinga dhuluma ya uhai na haki ya kuonwa na ndugu,marafiki wakiwemo marafiki wa waliokuwa wakitekwa enzi zile.

Ona,leo kupotea kwa Polepole hakutofautiani na kupotea kwa Mdude Nyagali viumbe ambao maisha yao hayakuwahi kukaribiana hata kidogo. Tuyapinge tu haya mambo ya UKATILI bila kujali itikadi na imani zetu.

Yeah!
Usipopinga leo ya wenzako. Kesho unakuwa pekeako na familia yako. Mnakuwa wachache
 
Kitu pekee ambacho kitawaogopesha watekaji ni ile spirit waliyonayo hiyo Polepole Family. Kwani inajenga awareness na kuchochea familia zingine kuiga mfano
Polepole alifika hadhi ya kua balozi, hata kile alichokua anafanya hakuwa pekeyake kuna watu wengi tu walikua wanamuunga mkono humo chamani kwao na wasio wanachama .

Siamini wote walikubali kilichofanyika kwenye ule mkutano wa CCM , January 2025 wengi walikaa kimya kwa kuogopa na uchawa.

Sasa tukija katika uhalisia , wapo waliofurahi yeye kupotezwa humo humo chamani kwao na wapo waliosikitishwa .

Sasa inakija vacuum ya taarifa kuna wanaofahamu kilichomkuta na wapo wasiofahamu , hivyo hadi sasa ninaamini familia yao wanajua kilichotokea sasa wameamua kutumia njia nyingine kupata haki ya kaka yao na ndio unaona wamehamia jukwaa lingine.

Hadi leo ninaamini wapo watu ambao wameshawaambia familia yao ukweli kwa kilichotokea , ukisoma body language ya familia yao ile January 6 ikiwa ni miezi 3 tangu kapotea walipokua wanatoa vitu alipokua anakaa utagundua walishajua kilichotokea .
 
Sahihi.

Lakini bado hawana uhakika.
Uhakika ni kumpata Polepole au mwili wake.

Yote kwa Yote, kuna makosa yalifanyika ambayo nafikiri walioamua leo wanaona walikosea.
 
Wanajilaumu sana, kaenda kuongeza chumvi kwenye kidonda,
Ikiwezekana asirudi tu, hata kama sio serikali itakayomdhuru, Kuna makundi yamejipa kazi ya kuadhibu wanaopinga serikali, rejea kundi la Shehe Mwaipopo la mbwa mwitu
Serikali ya Samia inatengeneza makundi ya kigaidi kama haya ya Mwaipopo kuwadhuru watu wanaotetea haki, rasilimali zao.
 
Sahihi.

Lakini bado hawana uhakika.
Uhakika ni kumpata Polepole au mwili wake.

Yote kwa Yote, kuna makosa yalifanyika ambayo nafikiri walioamua leo wanaona walikosea.
Kuhusu kupata mwili hiyo inakua ngumu sana kwa sababu hiyo kazi chafu ya kupoteza watu hatua za mwisho hufanywa na watu wachache mno hao pia inaenda sambamba na kuwapoteza watekelezaji wengine.

Unaweza kukuta walioenda kufukia mwili walikua 3 na wote walipokua wanarudi wakauwawa pia kuficha ushahidi na kuepuka kugeukana miongoni mwao.
 
Hatari sana hiyo
 
Hamjambo!

Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.

Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.

Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?

Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?

Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.

Mjadala.
Si walikula pamoja enzi zile? Maskini haiwezi kupendana hatuna Mali za kutuunganisha
 
Aliachana na waliompeleka nje ya nchi,akaanza kuwatusi akiwa mafichoni, alirudi lini toka Cuba alipitia airport,bandari au mpaka gani?
Dunia yote inajua ushungi mwekundu ndio kamuua polepole.
Huyu mama hajawai kutosheka na dhulma ya roho za watu kaua maelfu na anaendelea kuua kama vile sio mwanadamu
 
Wanajilaumu sana, kaenda kuongeza chumvi kwenye kidonda,
Ikiwezekana asirudi tu, hata kama sio serikali itakayomdhuru, Kuna makundi yamejipa kazi ya kuadhibu wanaopinga serikali, rejea kundi la Shehe Mwaipopo la mbwa mwitu
Huko mbele watageukana na kila kitu kitakuwa wazi labda aendelee mwanamtandao
 
Dunia yote inajua ushungi mwekundu ndio kamuua polepole.
Huyu mama hajawai kutosheka na dhulma ya roho za watu kaua maelfu na anaendelea kuua kama vile sio mwanadamu
Jibu maswali yangu rahisi,acha kuropoka ropoka ka'uharo
 
Back
Top Bottom