Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Alipitaje Airport na kwenda ulaya?
Hawaruhusiwe familia ya Polepole kupita Airtpot?Alipitaje Airport na kwenda ulaya?
Nahisi wangejua wangemzuia...Hawaruhusiwe familia ya Polepole kupita Airtpot?
HakikaHamjambo!
Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.
Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.
Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?
Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?
Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.
Mjadala.
Ha
Hakika
Akirudi awe makini sana, nchi inawatu walioko juu ya sheria, wana mamlaka hadi juu ya uhai wa wengine, na hawogopi chochote,Nahisi wangejua wangemzuia...
Akirudi awe makini sana, nchi inawatu walioko juu ya sheria, wana mamlaka hadi juu ya uhai wa wengine, na hawogopi chochote,
Asirudi.......muda huu system inacheki rekodi za viwanja vya ndege wajue alipitia wapiAkirudi awe makini sana, nchi inawatu walioko juu ya sheria, wana mamlaka hadi juu ya uhai wa wengine, na hawogopi chochote,
Wanajilaumu sana, kaenda kuongeza chumvi kwenye kidonda,Asirudi.......muda huu system inacheki rekodi za viwanja vya ndege wajue alipitia wapi
Dakika za Mwishonza Uhai wake!!!!!??Ukumbuke kuna dada yake alivamiwa mara 2 na hao vibaka wa policcm hivyo anao ushahidi wa vitu vingi na pengine alikua anawasiliana na kaka yake hadi dakika za mwisho za uhai wake.
Anaishi hukohuko.Alipitaje Airport na kwenda ulaya?
Kwani si anaishi Denmark..au hujamsikiliza vizuri.Asirudi.......muda huu system inacheki rekodi za viwanja vya ndege wajue alipitia wapi