macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Wakiogopwa ndiyo wanazidisha. Get informed: lengo lao kuu ni kutisha watu kwa kuua. Wawe makini, ni sawa, lakini wasiogope. Familia zote zingekuwa hivi wangeogopa.Akirudi awe makini sana, nchi inawatu walioko juu ya sheria, wana mamlaka hadi juu ya uhai wa wengine, na hawogopi chochote,
Wahuni wanatupeleka pabaya sana ,yaani naona ipo siku kuna kiongozi atakuja kula chuma hadharani kwa chuki alizozitengeneza za kuua ndugu za watu....Hiyo siku ndiyo itakuja kubadilisha maindset za wahuni na kuanza kutenda haki.Hamjambo!
Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.
Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.
Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?
Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?
Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.
Mjadala.
Naam, mfumo ule ule ambao Polepole hakuuona kama ni hatari ndio umempoteza.Polepole alikuwa kiongozi,yalpokuwa yakiwakuta wengine yeye aliona kuwa HAYAMHUSU pengine hata ndunguze pia,lkn leo hii yanawahusu ndugu zake ambao hawakuwahi kuonekana kupinga dhuluma ya uhai na haki ya kuonwa na ndugu,marafiki wakiwemo marafiki wa waliokuwa wakitekwa enzi zile.
Ona,leo kupotea kwa Polepole hakutofautiani na kupotea kwa Mdude Nyagali viumbe ambao maisha yao hayakuwahi kukaribiana hata kidogo. Tuyapinge tu haya mambo ya UKATILI bila kujali itikadi na imani zetu.
Wahuni wanatupeleka pabaya sana ,yaani naona ipo siku kuna kiongozi atakuja kula chuma hadharani kwa chuki alizozitengeneza za kuua ndugu za watu....Hiyo siku ndiyo itakuja kubadilisha maindset za wahuni na kuanza kutenda haki.
Polepole alikuwa kiongozi,yalpokuwa yakiwakuta wengine yeye aliona kuwa HAYAMHUSU pengine hata ndunguze pia,lkn leo hii yanawahusu ndugu zake ambao hawakuwahi kuonekana kupinga dhuluma ya uhai na haki ya kuonwa na ndugu,marafiki wakiwemo marafiki wa waliokuwa wakitekwa enzi zile.
Ona,leo kupotea kwa Polepole hakutofautiani na kupotea kwa Mdude Nyagali viumbe ambao maisha yao hayakuwahi kukaribiana hata kidogo. Tuyapinge tu haya mambo ya UKATILI bila kujali itikadi na imani zetu.
Polepole alifika hadhi ya kua balozi, hata kile alichokua anafanya hakuwa pekeyake kuna watu wengi tu walikua wanamuunga mkono humo chamani kwao na wasio wanachama .Kitu pekee ambacho kitawaogopesha watekaji ni ile spirit waliyonayo hiyo Polepole Family. Kwani inajenga awareness na kuchochea familia zingine kuiga mfano
Kabisa ila naona wahuni wanakaza "MAKOMWE" huku tunazidi kudidimia.Ni kweli. Haya mambo yanatakiwa kurekebishwa hata kwa kuzuga zuga tuu.
Sasa ishu ni nani wa kumuangushia jumba bovu?
Polepole alifika hadhi ya kua balozi, hata kile alichokua anafanya hakuwa pekeyake kuna watu wengi tu walikua wanamuunga mkono humo chamani kwao na wasio wanachama .
Siamini wote walikubali kilichofanyika kwenye ule mkutano wa CCM , January 2025 wengi walikaa kimya kwa kuogopa na uchawa.
Sasa tukija katika uhalisia , wapo waliofurahi yeye kupotezwa humo humo chamani kwao na wapo waliosikitishwa .
Sasa inakija vacuum ya taarifa kuna wanaofahamu kilichomkuta na wapo wasiofahamu , hivyo hadi sasa ninaamini familia yao wanajua kilichotokea sasa wameamua kutumia njia nyingine kupata haki ya kaka yao na ndio unaona wamehamia jukwaa lingine.
Hadi leo ninaamini wapo watu ambao wameshawaambia familia yao ukweli kwa kilichotokea , ukisoma body language ya familia yao ile January 6 ikiwa ni miezi 3 tangu kapotea walipokua wanatoa vitu alipokua anakaa utagundua walishajua kilichotokea .
Kabisa ila naona wahuni wanakaza "MAKOMWE" huku tunazidi kudidimia.
Serikali ya Samia inatengeneza makundi ya kigaidi kama haya ya Mwaipopo kuwadhuru watu wanaotetea haki, rasilimali zao.Wanajilaumu sana, kaenda kuongeza chumvi kwenye kidonda,
Ikiwezekana asirudi tu, hata kama sio serikali itakayomdhuru, Kuna makundi yamejipa kazi ya kuadhibu wanaopinga serikali, rejea kundi la Shehe Mwaipopo la mbwa mwitu
Kuhusu kupata mwili hiyo inakua ngumu sana kwa sababu hiyo kazi chafu ya kupoteza watu hatua za mwisho hufanywa na watu wachache mno hao pia inaenda sambamba na kuwapoteza watekelezaji wengine.Sahihi.
Lakini bado hawana uhakika.
Uhakika ni kumpata Polepole au mwili wake.
Yote kwa Yote, kuna makosa yalifanyika ambayo nafikiri walioamua leo wanaona walikosea.
Kuhusu kupata mwili hiyo inakua ngumu sana kwa sababu hiyo kazi chafu ya kupoteza watu hatua za mwisho hufanywa na watu wachache mno hao pia inaenda sambamba na kuwapoteza watekelezaji wengine.
Unaweza kukuta walioenda kufukia mwili walikua 3 na wote walipokua wanarudi wakauwawa pia kuficha ushahidi na kuepuka kugeukana miongoni mwao.
Si walikula pamoja enzi zile? Maskini haiwezi kupendana hatuna Mali za kutuunganishaHamjambo!
Aiseeeh! Hii familia iwe Mfano kwetu. Haipoi na hawataki kumuachia Mungu. Wanapambana aiseeh!
Kule Kaka Mtu, kule Mdogo wakiume. Kule Dada Mtu.
Hawa watu wanaonyesha upendo, umoja, ujasiri na hawataki kukubali imeisha.
Swali kwa kila mmoja wetu mpaka viongozi na wanaongozwa. Isije ukajidanganya wewe ni kiongozi haikuhusu. Kwani hata Polepole Alikuwa kiongozi kama wewe.
Swali; Ikitokea umepotezwa, je unandugu hata kama hawana pesa lakini watapambana kwa ajili yako bila kuchoka wala kukata tamaa?
Je wewe kama mzazi, unawaandaje watoto wako, wapendane, na kuwa wamoja na ujasiri wa kuteteana pale mmoja anapokutwa na majanga?
Kila kinachotokea ni fursa ya kujifunza kuwa watu bora.
Mjadala.
Aliachana na waliompeleka nje ya nchi,akaanza kuwatusi akiwa mafichoni, alirudi lini toka Cuba alipitia airport,bandari au mpaka gani?Wao wanamtaka ndugu yao. Hayo mengine hayawahusu.
Kwani aliyempeleka nje ya nchi na nani?
Dunia yote inajua ushungi mwekundu ndio kamuua polepole.Aliachana na waliompeleka nje ya nchi,akaanza kuwatusi akiwa mafichoni, alirudi lini toka Cuba alipitia airport,bandari au mpaka gani?
Huko mbele watageukana na kila kitu kitakuwa wazi labda aendelee mwanamtandaoWanajilaumu sana, kaenda kuongeza chumvi kwenye kidonda,
Ikiwezekana asirudi tu, hata kama sio serikali itakayomdhuru, Kuna makundi yamejipa kazi ya kuadhibu wanaopinga serikali, rejea kundi la Shehe Mwaipopo la mbwa mwitu
Instead of Tanzania, read TanganyikaIts not even about Polepole and his family. Tanzania is a kingdom divided against itself!
System ya over sanaAsirudi.......muda huu system inacheki rekodi za viwanja vya ndege wajue alipitia wapi
Jibu maswali yangu rahisi,acha kuropoka ropoka ka'uharoDunia yote inajua ushungi mwekundu ndio kamuua polepole.
Huyu mama hajawai kutosheka na dhulma ya roho za watu kaua maelfu na anaendelea kuua kama vile sio mwanadamu