Familia ya Lowassa kutomtaja Kikwete rafiki kipenzi wa Baba, je ni kukosa shukran?

Hata hapo kwenye mazishi JK alikuwa busy na story na jamaa zake
Your browser is not able to display this video.
 
Familia imesema ukweli mtupu, KIKWETE ni mnafiki,hakuwa karibu na hayati Edward Lowassa,kama angekuwa karibu na hiyo familia wasingeacha kumtaja
 
Sasa kama hakuhusika kwa nini wamtaje? Binadamu wa Tanzania tunapenda kuishi kinafki. Halafu wengi we assume tutadumu kwenye madaraka au nyakati za neema siku zote.
 
Unafiki mwisho daraja la Wami. Wamasai hawana mbambamba. JK amepata anachostahili
 
Nahisi mzee Kikwete alilidanganya Taifa kuwa walikuwa wamoja hata baada ya kujiuzulu kwa Lowassa.

Richmond deal la mtu mkubwa sana. Angalia kijana wake mtiifu alivyofanikiwa kumchomeka Nishati na alichokifanya
Hivi hii Richmond haiwezi kuwa na maana ya Richard? Huyu last born?
 
Kikwete alikuwa MTU fair sana - kwa mhemuko wa spika na bunge wakati huo kama si busara za JK angejiuzulu na kuswekwa ndani.

Lkn hata iweje JK alimulinda sana EL
 
Kikwete alimjua Lowasa kuliko wewe... pengine aliliepusha taifa na madhira na madhaifu ya marehemu. God knows
Wengi tusilolojua faili la mtumishi wa umma linamfuata kila anapo fany kz wano jua ukwali wa utendaji kazi wk na uzelendo wk kwa nch ni taasis alizo fny kazi hususan viongoz wenzk tuheshim taasis alizopita maamuz waliyo fnya huu upuuz wa kuficha uovo kupitia ukanda ukabila na udini hauna mstakabali mzuri kwa maendeleo ya nch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…