Kutomtaja Kikwete kwenye report zao, hotuba na hata jarida lao la Familia la kurasa, 23 ni msingi mzuri kuonyesha kuwa, wao, wana family ya Lowasa hawana unafiki kama wa Kikwete. Ndugu, mwandishi katika hoja zako unasema, wamekosa shukrani. Tukuuluze, shukrani IPI???? Nafikiri shukrani unayoongelea ni Kikwete kumteua, Lowasa kuwa PM. Lakin, tukichambua kwa makini kabisa, aliyekosa shukrani ni KIKWETE. Inasemekana Kikwete hakuwa na pesa, za kuwa Rais, alifadhiliwa na Lowasa na Rostam Aziz. Na utakumbuka, Mwaka 2015 , pale Arusha lowasa alisema kuwa, makubaliano Yao, y alikuwa, kwamba baada ya Kikwete kuwa, Rais, angemwachia, pia Lowasa. Alisema kabisa Lowasa. Aliyekosa Shukrani ni Kikwete. Alivunja makubaliano Yao. Kwanza, issue ya Richmond ilikuwa ya Kikwete lakini akamsingizia Lowasa. Lowasa, akajiuzuru. Akaona hiyo haitoshi, mwaka 2015,akaondoa jina la Lowasa kwenye wagombea wa, Urais wa CCM. Kikwete alimfanyia unyama mkubwa sana Lowasa. Lowasa alikuwa frustrated, mpaka akahama chama. Akapata, stroke kubwa. Bado unasema family ya Lowasa hawana shukrani.