Naanza kuamini, umelewa...
Wanamlaumu victim, victim anaweza kuwa yeyote ukiwahiwa akili. Wahusika wakutane na mkono wa sheria.Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?
Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.
Hizi ni hukumu zenye double standards.
Kwa nini asitembee usiku peke yake?Kwanini atembe Usiku pekee yake?
❤❤❤❤❤❤❤.na hii tabia ya kupokea pokea salamu inawacost sana..bora uonekane una dharau! Kitoto kidgo cha kazi gani? PyeeWanawake unampelekaje boyfriend kwenye nyumba ya marehemu mumeo mpaka ajue ya hela ulizonazo.
Pia mjane tajiri wanaume wahuni vibenten wa nini.. why usitafute mjane mwenzako mwenye mahela. Ama unakuwa hata mchepuko wa mwanaume anaejielewa pia.. hela anazo ila hajui hata value yake..
Wanawake wajanja wana vikazi vya laki sita tu ila mwanaume mjinga mjinga hawakupi chance hata ya kumsalimia..
Shida iko hapo...Dada wawatu unamharakisha na utamu wake bado tunauhitaji....fuckin huyu jamaa...
Angemfanya matusi vizuri mbona angecheua mpunga kilaini kabisa....lakini kwanini mtoto wakiume upewe hela kifalafala...
Noma sana❤❤❤❤❤❤❤.na hii tabia ya kupokea pokea salamu inawacost sana..bora uonekane una dharau! Kitoto kidgo cha kazi gani? Pyee
Huyo ndo joe? Anaonekana mtamu hatari
Wanawake waangalie wanaume wa kuwa naoShida iko hapo...
Sijajua ila watoto wa mikocheni wametumaHuyo ndo joe? Anaonekana mtamu hatari
Mimi hata salamu zao sipokei..hata bar naendaga alone enjoy alone sepa..hawakawii kukulengesha wakupige ..dah..Mungu awarehemu huko walipoWanawake waangalie wanaume wa kuwa nao
Utakuja huyo bf alikuwa Mario fulani,wale kutwa kutaka kpendeza,kiunoni ananinginiza
Funguo ya gari tu
Ova
Wapo wanaume kazi yao kwa wanawake ni umaslahi,wanawake wengine wanawababaikiaMimi hata salamu zao sipokei..hata bar naendaga alone enjoy alone sepa..hawakawii kukulengesha wakupige ..dah..Mungu awarehemu huko walipo
Semaga hivi wako wakaka kazi yao kuwa smart na kwa siku anasalimia wamakankaka 10 anakumwagia misifa kama umenit naye sokoni anakuomba akusindikize had kwa gar...ss kama una stress za kwako unahis anajua kucare unajikuta unampa namba..had saa7 usk anakubembeleza tu bas unahis wewe ndo wewe..mxiewWapo wanaume kazi yao kwa wanawake ni umaslahi,wanawake wengine wanawababaikia
Kwa sababu ya umuonekano,usmart maneno mengi hapo wanawamaliza
Ova
HahahahahSemaga hivi wako wakaka kazi yao kuwa smart na kwa siku anasalimia wamakankaka 10 anakumwagia misifa kama umenit naye sokoni anakuomba akusindikize had kwa gar...ss kama una stress za kwako unahis anajua kucare unajikuta unampa namba..had saa7 usk anakubembeleza tu bas unahis wewe ndo wewe..mxiew
Ooh..what a nice family picture ...so sad...r.i.pFamilia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story!
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa!
View attachment 1816190
Sent using Jamii Forums mobile app
Too sad!!
Kuwa na heshima kwa wakubwa zako aisee kwani hujaelewa nini alichoandika. Au unadhani mayala ni rika lako?Huu utopolo nao vpi?! Ndio umeandika utumbo gn?