Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Aliye HACK akaunti ya Mshana jr ya JF akamatwe , maana Mshana hawezi kuandika stori KIBOYA hivi
Mh, mtu mzima akitaka kutukana, basi huzungushiaaa!

Yaan unayetukanwa hata kama umekaa naye hapo hapo, hauwezi ambulia kitu, utabakia tu kukenua meno kwa furaha ukidhani anayenangwa si wewe kumbe kisu kishachinja!

Wakubwa ana akili,wee acha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanaoajiri wasaidizi wa ndani nje na kuwafuatilia/kuwajua vyema historia za Maisha yao
Mkuu, umeongea jambo la maana sana. Big up kwako. Historia ya maisha ya mtu ni jambo la muhimu sana. Kuna kiongozi mmoja aliwahi kusema katika moja ya hotuba zake kwa viongozi wadogo kwamba "historia yako itatembea na wewe".

Asije mtu akakwambia eti sasa hivi nimebadilika sipo kama zamani wakati uliishi naye kwa muda wa miaka 3 na kumjua tabia zake vema. Kama mtu huyo kabadilika basi ni 4% tu ya tabia zake lakini 96% ni tabia zake zile zile mbovu sema anazifanya kwa style nyingine mpya.
 
Watu wanalaumu vitu vya ajabu tu
Suala la umri linatoka wapi hapo na hata umri haujatajwa lakini shida kama hii inaweza kumkuta mtu yoyote migogoro ya mahusiano ipo bila kujali umri tamaa zipo tu bila kujali umri jambo kama hili linaweza kumkuta yoyote hujui mawazo ya mtu


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,
Unapata wapi ujasiri wa kuandika neno "wajameni"
 
Inauma sana, hao wauaji ningekuwa Rais na imedhibitika Beyond doubt, nawalisha kitanzi haraka sana!
 
Kwahiyo umeamua kunichamba[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119] hata mimi kaka ako..
 
Sasa ataolewa bila kupitia hatua ya mahusiano?
Unajuaje kama hawakupanga ndoa?

Maana hapo hawajasema alikua anatembea na wanaume hovyo hovyo bali huyo mwanaume alikua mpenzi wake, shida iko wapi?
Mpaka sasa hujaona shida ilipo ?? ..Ur not serious kabisa
 
Haya ni maoni tu
Habari iliyotoka ni kama tu kichwa cha habari haijasema umri wa huyo boyfriend
Ametajwa kama boyfriend kwa kuwa mume alishafariki
lakini huwenda labda sio mtu mwenye 20s au 30s kama wengi wanavyodhani inawezekana yuko kwenye 40s huko kama ambavyo mngependa iwe na maisha normal anayo kama nyumba gari lakini hizi tamaa na mawazo kama hayo yametoka wapi mizozo ya mahusiano na kujua kila kitu kuhusu mpenzi wake huwenda imepelekea hayo yote



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka Mshana Jr. aende amuulize umri wako, shughuli zako ni zipi, una miliki mali gani!!!!!!

Watu wengine bana, sijui!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…