Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Hapo wamepata majibu sahihi ya kifo cha baba yao, wamepanda hasira kwanini alisema uongo inaonekana nayeye alikua miongoni.
Sidhani kama kila kitu cha Mh. Membe familia walikuwa wanakijua. Kwa profile yake lazima alikuwa na Drs wengine wa ki tiss
After Assassination Post PropagandistYule kwanza ni kujua , kweli ni Daktare bingwa ? KWELI alikuwa dr wa membe ??
Allilenga nini Kukimbilia kuongea na waandishi kuwatuliza wananchi kuwahakikishia ni Kifo cha Kawaida ? Je alitumwa hata kama ni na kikao cha Marafiki na Ndugu dar au hata mkewe?
Brother Deep please naomba nipate ruhusa ya kukuona siku moja. Hata nikununulie soda basi nami nijinunulie soda ili roho yangu ifurahi TU.!Mamluki uyo, akili yangu inanambia maembe hajafa natural death
Mhh"Musiba nataka hela yangu" Ben Membe
Ben alipigwa sumu na nani? Si ni natural death? Aisee mbona story za vijiweni?Wamemgusa Membe na sasa atanuka kweli.
Kifo cha Membe na Mkapa vinashabihiana sana.
Sumu aliyopigwa Ben it seems ni hiyohiyo aliyopigwa Jasusi mbobezi.
Msiba wa kiafrika haukosi manenoFamilia ya marehemu Bernard Membe kupitia mwana familia anayeitwa Steven Membe wamemkana aliyejitambulisha kama daktari wa familia ya Membe alafu akaanza kuwatoa hofu wananchi kwa kuelezea namna marehemu Membe alivyofariki kwa kifo cha kawaida tu cha kubanwa na kifua hivyo wasiwe na wasiwasi!
Steven Membe amesema kama familia hawamjui huyo daktari na hawakumpa ruhusu kusema hayo aliyokuwa anayasema mbele ya watanzania.
Familia ya marehemu Membe wamempa siku saba daktari huyo kuomba radhi au wamburuze mahakamani.
Ilikuwa ghafla saaanaMamluki uyo, akili yangu inanambia maembe hajafa natural death
Hana mamlaka hayo unless kwa kibari cha familia.Hawa akina Membe wanapenda sana ligi za kijinga.., sasa mtu katoa watu hofu, shida ipo wapi?
DuhIlikuwa ghafla saaana
Mama anapotembea na kiti chake msidhani mjinga.Uhuru wa hii nchi uangaliwe Kwa jicho la tatu.
Sana tuuuuKazi ipoo, Lol