Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

No! Wapi nimesema mwarabu ndio mtu? Ninachosema huyo mzungu kawaonyesha wagalatia wa tz kuwa hata wazungu sio watu likija suala la rangi, ni wabaguzi kama waarabu
Hapo sawa,wazungu nao ni vile vile tu.
Wanakuonesha wanakukubali ila deep down ni mashetani sana tu.
 
Wazungu hawatakuja kuacha ushenzi wao kamwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu weusi tulitakiwa kuishi kivyetu

Mi naamini waafrica Kuna kitu tulikuja kufanya duniani
Ila kwa sababu Fulani Fulani tumejikuta tunapoteza lengo hivyo kuanza kuiga kwa wenzetu ambao wao lengo la kua hapa duniani wanalijua
Tuna sahau malengo hayo hayafanani
 
Weka video
 
Mimi nadhani ifike mahala tuwakomoe hao. Tuongee na waafrika wenzetu warudi kwenye nchi zao za asili na wengine tuwashauri wahamie Uchina, Urusi, India na Uarabuni.
Waafrika wangekubaliana tu kwamba hakuna kwenda Ulaya na Marekani. Waafrika hawajui ushawishi na nguvu yao ilivyo kubwa.
 
Huyo demu alishaisoma akili yako akakuona kua kipa katoka ndio maana akacheza na akili yako kwa kukuongopea na wewe ukameza tu.
 
Mgaratia umemind🤣
 
Mwenyewe niliambiwa hiyo kaka na Malaya mmoja anaejitanda mchana.
Cha ajabu alinitongoza mwenyewe tukalana haswaaaa kisha akaamua akaendelee kuzini na wa dini yake baada ya kuona nimegoma kubadili dini🤣
 
Hawa jamaa hawatupendi kabisa yaani kuishi na sisi huwa wanajikaza tu, kwa masilahi yao.
Mtu mweupe ni mshenzi sana bahati mbaya sisi weusi ndiyo huwa tunajipendekeza kwao.

Viongozi wetu wakionyesha nia ya kujitenga nao tunaanza kuwakatisha tamaa kwamba hatuwezi bila wao lakini ukweli kama tukiamua tunaweza tukapiga hatua japo kwa kuchelewa ila tutafika tu.
 
Kimsingi ngozi nyeusi tunadharaurika sana.
Ni kweli, ila kwa akili za wapuuzi puuzi wanaotuwakilisha huko majuu unategemea hata wewe ungekua ngozi nyeupe usingetudharau?? Wametuacha tujitawale miaka zaidi ya 70 iliyopita lakini hadi leo bado tunaomba msaada wa mbolea na nafaka kutoka kwenye taifa linalopigana vita. Hata hivyo Sikufurahishwa na kitendo alichofanyiwa huyo binti ila ndio hivyo hakuna namna.
 
Mgalatia naona povu limekutoka mpaka umesahau kua hawa wazungu hua mnawaona kama miungu watu,usijisahau sana,comment zako nyingi hua zimekaa kiudini halafu hapa unajaribu kujifanya mtakatifu.
Wewe natafuta namna niwe naku-ignore tu maana kupitia ujinga uliorithishwa unaamini mtu kuandika kitu fulani kumuhusu fulani unayedhani mnafanana itikadi kwake ni chuki kumbe yote ni namna ya ku-refresh uelewa wetu.

Nadhani na naamini nikikupa kazi week hii yote utafute ktk post zangu hapa Jamiiforums unipandishie link hapa ya post yangu hata moja,just one ambayo nimeegemea kumshangilia mtu mweupe huwezi kuileta,hao watu ni tatizo nipo Kariakoo hapa mwaka wa 24 naishi nao awe na dini asiwe na dini wewe mweusi kama humchangii kitu ktk circle yake wewe ni nyani kama wale wanaoishi msituni.

Toa kichwa kwenye box ulimokificha waza nje ya dini utapata faida zaidi.
 
U can't run from yourself,umeandika gazeti ila huwezi kuubadili ukweli,punguza unafiki,

Hapo ulipoandika kuniambia ''Kupitia ujinga uliorithishwa'' ndio panaelezea jinsi ulivyo,nikikuuliza huo ujinga nimerithishwa na nani? japo najua ulichokilenga,

Wewe ndio unatakiwa kutoka nje ya box,mimi ni mbeba box na sijakutana na ubaguzi wowote ule,toka usingizini,badili mazingira.
 
Upo sahihi sana,sikupingi.

Ni kitu nimeki-expirience mimi mwenyewe lakini baada ya kutafakari vizuri na kwa kina nimekuja kugundua kabisa jamii hiyo sina ninachohusiana nayo ktk maisha halisi zaidi nipo na sisi sisi weusi kama wakawa watu wa dini au wasiokuwa na dini ila tunaishi vizuri na salama kuliko kuishi katikati ya jamii hiyo.

Shida hatuamki kwa wingi wetu ni wachache sana tunafunguka ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…