mimimnyenyekevu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 737
- 1,002
Basi ana haki ya kukaa na watoto wake,huenda alikuwa na nia ya kuomba msamaha na Wewe hukumruhusu,pengine mngeongea na kuyamaliza mkaendelea kama familia,ila kwa sababu we ulifanya maamuzi ya haraka ndo na yy akaamua kuoa. Hapo inabidi uchague Moja kuwaacha watoto walelewe na bibi yao ili uolewe au uwachukue uishi nao pasipo uwepo wa huyu bwana mpya.Mimi niliamua kukaa pembeni baada ya kumfumania na kugundua hatuna malengo /ndoto sawa za maisha.