JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Huyo hawezi kumlinda. Anaolewa na baba mkwe, mama mkwe, mawifi huenda na majirani.ombi ilitakiwa apewe na mchumba wake sio mtu mwingine yeyote, kwa sababu hao wengine hawafahamu kitu juu ya mahusiano yao, yaani endapo huyu binti ataolewa na ndoa yake ikawa na shida, yeye hatakuwa na tatizo, tatizo litakuwa kwa mumewe
Hapa nyie ndio wenye matatizo halafu na wewe unaonekana kila kitu kina amuliwa na mama yako na wala sio baba yako.Swala zima ni harusi dogo langu alikuwa anajaribu kuzungumze nae harusi isogezwe mbele kidogo sababu ya changamoto yee akamjibu hilo halimhusu ila nyumbani wazungumze na mshenga ndio atoe taarifa nyumbani basi hapo ndio ikawa ndio sababu nyumbani kumchukia huyu binti
Kumbe ni tabia ya kinyaki [emoji23][emoji23]Hahahahahah hapo tatizo naliona kwenye familia zaidi kuliko kwa mke wa jamaa[emoji28]!
Wanyaki muache mambo yenu haya alaaah!
Ndoa ya sister angu ilienda kwenye safe mode kwa style hio hio...Mtoto wa mjomba kamchokonoa sister muda mrefu tu sister akampa kubwa kaenda kutangaza ukoo mzima kuwa wifi ... kanitukana oneni sms zake.
Jamaa kashikwa maskio na mama yake akaja kumfukuza mke [emoji28] eti aondoke kwake. Matokeo yake kila kukicha anaomba msamaha sasa penzi lilishachacha anaonekana ng’ombe tu!!!
Kama hata kuelewa hapa ndo basi tenaUmekaa kwenye mahusiano na mtoto wa watu for 5 years na still huwezi kufanya decision ya ndoa yako mwenyewe? Mkuu, how old are you?? Just for your interest, wanawake (dada yako being inclusive ) by nature huaga hapendani; lini umewahi kusikia baba ana ugomvi na mkwewe wa KIKE!?
Lini umewahi kusikia mashemeji wa kiume wana ugomvi na mke wa kaka/mdogo wao? Always mama mkwe na wifi/dada! Umempenda, weka msimamo, mwambie dada yako hata yeye ni mwanamke, huenda huko anako date nako hakubaliki, na wanatafuta asikubalike ili asiolewe.
Case clossed,,,wote tutazunguka weee but final advice n hiiUmekaa kwenye mahusiano na mtoto wa watu for 5 years na still huwezi kufanya decision ya ndoa yako mwenyewe? Mkuu, how old are you?? Just for your interest, wanawake (dada yako being inclusive ) by nature huaga hapendani; lini umewahi kusikia baba ana ugomvi na mkwewe wa KIKE!?
Lini umewahi kusikia mashemeji wa kiume wana ugomvi na mke wa kaka/mdogo wao? Always mama mkwe na wifi/dada! Umempenda, weka msimamo, mwambie dada yako hata yeye ni mwanamke, huenda huko anako date nako hakubaliki, na wanatafuta asikubalike ili asiolewe.
[emoji28][emoji28][emoji28] watuache tuenjoy bhn, mi napendaga majibu yako hayanaga huruma, jipu walipasua apo apo.Wananizinguaga tu hawa mods hawapendi kuona nainjoy humu[emoji28]
Ndio nilivyo mie huwa sirembagi😅 utachagua kusuka au kuweka weaving[emoji28][emoji28][emoji28] watuache tuenjoy bhn, mi napendaga majibu yako hayanaga huruma, jipu walipasua apo apo.
[emoji23]Yuko uko anapambana na ndoa yake. Ata kulalamika huwa anaangali mudi za watu kwanza [emoji28][emoji28].Hahahahahah yeye ndio kampenda[emoji28] muacheni akomae na ndoa yake jamani!
Ushauri mzuri ila kwa huo unaotolewa hapo ni baada ya mdogo mtu kumsagia kunguni wifi yake[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maamuz mengine ni ya kuyachunguza kwanza kabla hujaja kujuta baadae. Unamuacha mke mwsho wa siku unapata gulubembeHahahahahah hapo tatizo naliona kwenye familia zaidi kuliko kwa mke wa jamaa[emoji28]!
Wanyaki muache mambo yenu haya alaaah!
Ndoa ya sister angu ilienda kwenye safe mode kwa style hio hio...Mtoto wa mjomba kamchokonoa sister muda mrefu tu sister akampa kubwa kaenda kutangaza ukoo mzima kuwa wifi ... kanitukana oneni sms zake.
Jamaa kashikwa maskio na mama yake akaja kumfukuza mke [emoji28] eti aondoke kwake. Matokeo yake kila kukicha anaomba msamaha sasa penzi lilishachacha anaonekana ng’ombe tu!!!
Hahahahahahah kama kaweza kulipa mahari 7M nafikiri hata kumuacha mke inawezekana[emoji23]Yuko uko anapambana na ndoa yake. Ata kulalamika huwa anaangali mudi za watu kwanza [emoji28][emoji28].
Kwa kesi ya uyo jamaa, achunguze vizuri kwanza, asikurupuke kusikiliza dada yake au kumsapoti mchumba wake. Hivi huyu si ndo yule was mahali milioni 7?
[emoji28][emoji28] huyu inaelekea pande zote 2 za familia Zina matatizo.B
Hahahahahahah kama kaweza kulipa mahari 7M nafikiri hata kumuacha mke inawezekana
Yani ni wazi kabisa, huyo mwanamke ndio anaenda matatizoni haswa! Hio familia kama sio wanyakyusa sijui[emoji28] maana ndio tabia zao kuwawekea wali vipengele..Af wanakomalia ukoo mzima yani hakuna hakuna hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
ni kweli atakuja kukutesa 7bu ana hekima katika kuzungumza hivyo ina mfanya akose busaraSwala zima ni harusi dogo langu alikuwa anajaribu kuzungumze nae harusi isogezwe mbele kidogo sababu ya changamoto yee akamjibu hilo halimhusu ila nyumbani wazungumze na mshenga ndio atoe taarifa nyumbani basi hapo ndio ikawa ndio sababu nyumbani kumchukia huyu binti
ukienda na mtazamo huu ndoa yako kudumu itakuwa kazi sanaNdoa sikuhiz ni fashion muoe mtakapoachana ndo hapo hapo
Hahahahahah hapo tatizo naliona kwenye familia zaidi kuliko kwa mke wa jamaa[emoji28]!