Umekaa kwenye mahusiano na mtoto wa watu for 5 years na still huwezi kufanya decision ya ndoa yako mwenyewe? Mkuu, how old are you?? Just for your interest, wanawake (dada yako being inclusive ) by nature huaga hapendani; lini umewahi kusikia baba ana ugomvi na mkwewe wa KIKE!?
Lini umewahi kusikia mashemeji wa kiume wana ugomvi na mke wa kaka/mdogo wao? Always mama mkwe na wifi/dada! Umempenda, weka msimamo, mwambie dada yako hata yeye ni mwanamke, huenda huko anako date nako hakubaliki, na wanatafuta asikubalike ili asiolewe.