Familia yangu imenigomea nisimuoe mpenzi wangu sababu wanahisi nitakuja kuteseka


Huyo dada ni mmachame au mchaga?
 

Ni rahisi sana haya kuyaandika ukiwashauri wenzio wayatende lakini na kuhakikishia kwenye uhalisia hata wewe uwezi tenda haya!

Hivi kweli wewe unaweza owa mwanamke asiyetakiwa kabisa kwenu kabisa...utampeleka wapi mtoto wa watu...nyumba gani utaishi ndugu zako hawakanyagi na wazazi hawakanyagi? Ndoa gani utafunga haina ndugu wala wazazi?

Hivi mnafikiri ni rahisi kama mnavyo andika? Hata mitaani mnaona kweli haya yanawezekana mnayo washauri wenzenu?

Ndoa yafaa nini haina baraka za wazazi wala ndugu? Hii ndoa itakuwa mateso makuu kwa huyo binti!
 
Mawifi huwa wanajikutaga sijui nini ...wanataka sana kuabudiwa. Sasa akikutana na kauzu ndo mambo yanakuwa kama hivyo.
Oa kimya kimya kama wanakataa process
Weka mkeo ndani anzeni kuijaza dunia...
Mengine wataelewa mbele kwa mbele wakiona mmekaza.
 
Ukioma familia inaamua uoe au usioe...au umuoe.nani


Kaka

Achana na msichana wa watu usiendelee kumpotezea muda


Maana bado hujapevuka.

Watu hapa watandanganya lakini ukweli ndio huo kuwa tunaoa au kuolewa kwaajili ya familia zetu na ndizo zinaamua!

Hakuna hapa hata mmoja mwenye jeuri ya kuoa au kuolewa bila baraka za ndugu au wazazi ...

Kwanza huyo binti atakuwa nati haziko sawa kama atakubali kuolewa sehemu ambayo wanamkataa hadharani ...kwa sababu hata ndoa haitodumu...

Huyo mtoto wa watu asikubali kuolewa kwenye mazingira hayo lazima watengeneze kwanza

Lazima tukubali ndugu zetu wana nguvu sana kwenye haya mahusiano yetu...
 
Logical kuna taswira yenye kuonyesha viashiria vya wazi kuwa mke mtarajiwa/ mchumba kuwa amefikia ukomo na kushindwa kumstahimili wifi yake, ambaye inaonekana kwa namna moja au nyingine alikuwa anamkwaza kwa muda mrefu sana. Kwa dhana hii ni wazi kuwa mchumba hakuwa na kusudio la kosa bali muhemko.

Hila kwa mtazamo wa lugha ya picha kwa nje, wazi tutamuhukumu mchumba kwa kutokuwa na busara kwa kuwa alikuwa na uwezo wa kutoa kauli isiyo na makasirisho na yenye tija bila mikwazo au viashiria vya dharahu kwa wifi yake.

Pia kwa upande wa dada, ni wazi kuwa mtoa mada hakuweka au kuainisha mipaka kati ya yale yanayomuhusu yeye haswa mahusiano na dada au hata ndugu. Lakini mwisho wa yote umri pia huenda ikawa ni sababu kwa pande zote mbili yaani mchumba na dada.

NB: Wazazi wanaweza kuwa na hoja ya msingi kwa kuzingatia mapokeo na uwasilishaji wa hilo tukio kutoka kwa dada. Kwa hatua uliyofikia na tija ya dhamira yako ni vyema ukakaa chini na wazazi hili mliangalie kwa kina la sivyo itakupa shida sana siku za usoni kama utaamua kuendelea bila kulisawazisha hili mkuu.
 
Ndugu wana nguvu iwapo utaruhusu Mkuu

Ukiwa na msimamo na kuweka mipaka hakuna atakayekuingilia.
 
Hehehehehe huu mkwara wa kwenye keyboard haujawahi kunitisha shoga wewe,, ukiumia watu kuolewa kaolewe wewe shenzi
Shoga ni baba ako mzazi aliyekuzaa ambaye ndie nampanuaga matako yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…