BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Nawashauri upande wa mke wasirudishe hata shilingi!!!!!B
Hahahahahahah kama kaweza kulipa mahari 7M nafikiri hata kumuacha mke inawezekana
Si wamesusa wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawashauri upande wa mke wasirudishe hata shilingi!!!!!B
Hahahahahahah kama kaweza kulipa mahari 7M nafikiri hata kumuacha mke inawezekana
Ndugu zangu huyu binti nimetoka nae mbali sana zaidi ya miaka 5 tupo katika mahusiano na mimi ndo ninamjua vizuri sana.
Ila shida inakuja familia yangu imenigomea kumuoa huyu binti kwa kigezo ntakuja kuteseka badae na hii inatokana kuna kauli alipishana na mdogo wangu wa kike katika mazungumzo nae kwenye simu.
Hivyo ikapelekea huyu dogo langu kuwambia wazee wangu yote yaliyojitokeza hivyo hili swala likapelekea wazazi wangu hawataki nimuoe huyu binti kwani wanamuona kama mtu mwenye jeuri na kiburi hivyo atakuja kunipa shida sana hapo badae.
Je nifanye nini ndugu zangu ukiangalia familia yangu imeshamkataa huyu binti hawataki hata kumsikia.
Umekaa kwenye mahusiano na mtoto wa watu for 5 years na still huwezi kufanya decision ya ndoa yako mwenyewe? Mkuu, how old are you?? Just for your interest, wanawake (dada yako being inclusive ) by nature huaga hapendani; lini umewahi kusikia baba ana ugomvi na mkwewe wa KIKE!?
Lini umewahi kusikia mashemeji wa kiume wana ugomvi na mke wa kaka/mdogo wao? Always mama mkwe na wifi/dada! Umempenda, weka msimamo, mwambie dada yako hata yeye ni mwanamke, huenda huko anako date nako hakubaliki, na wanatafuta asikubalike ili asiolewe.
Ukioma familia inaamua uoe au usioe...au umuoe.nani
Kaka
Achana na msichana wa watu usiendelee kumpotezea muda
Maana bado hujapevuka.
Wee tuache wanyaki [emoji23]Yani ni wazi kabisa, huyo mwanamke ndio anaenda matatizoni haswa! Hio familia kama sio wanyakyusa sijui[emoji28] maana ndio tabia zao kuwawekea wali vipengele..Af wanakomalia ukoo mzima yani hakuna hakuna hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu hapa watandanganya lakini ukweli ndio huo kuwa tunaoa au kuolewa kwaajili ya familia zetu na ndizo zinaamua!
Hakuna hapa hata mmoja mwenye jeuri ya kuoa au kuolewa bila baraka za ndugu au wazazi ...
Kwanza huyo binti atakuwa nati haziko sawa kama atakubali kuolewa sehemu ambayo wanamkataa hadharani ...kwa sababu hata ndoa haitodumu...
Huyo mtoto wa watu asikubali kuolewa kwenye mazingira hayo lazima watengeneze kwanza
Lazima tukubali ndugu zetu wana nguvu sana kwenye haya mahusiano yetu...
Shoga ni baba ako mzazi aliyekuzaa ambaye ndie nampanuaga matako yakeHehehehehe huu mkwara wa kwenye keyboard haujawahi kunitisha shoga wewe,, ukiumia watu kuolewa kaolewe wewe shenzi