Familia zina siri kubwa, mwanasheria msibani: Mwanasheria kazua gunzo msibani akisoma mirathi, watu tulishangaa sana

Familia zina siri kubwa, mwanasheria msibani: Mwanasheria kazua gunzo msibani akisoma mirathi, watu tulishangaa sana

Inaniuma sana kuona lugha yetu tamu mkiiharibu kwa ujinga mliosomea.

Nafaham wengi wenu Kiswahili siyo lugha yenu ya kwanza. Msituharibie hii lugha ya Kimataifa kijinga jinga.

Kitendeeni haki Kiswahili.
Samahani mswahili wangu hivi kiswahili sanifu ni mliosomea au mliousomea?tafadhali naomba ufafanuzi.
 
Ni upuuzi tu.
Mfano
Baba amefariki ghafla kwa ajali.
Dada mkubwa kumbe anaijua familia yote na watoto wa mchepuko wawili.
Siku ya mirathi kakana hajui chochote.
Ina maana vile vitu vyote wakanyanganywe mali zote.
Kuna watoto wawili pale wataishije.?
Kwenye mirathi kuna mambo ya ajabu sana.
Tenda wema ondoka.
 
Back
Top Bottom