Mdigokhan
JF-Expert Member
- May 2, 2022
- 942
- 2,198
๐๐๐๐ Story imekuwa fupi sana...Hata mi nilidhani kuna mtu atakufa tena..Hujamalizia stori kwahiyo iliishia hivyohivyo tu hakuna hata mtu kurogwa!,kuzimia n.k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐ Story imekuwa fupi sana...Hata mi nilidhani kuna mtu atakufa tena..Hujamalizia stori kwahiyo iliishia hivyohivyo tu hakuna hata mtu kurogwa!,kuzimia n.k
Dah huyo alicheza na mama MARIA NYERERE mkuu utotoniMambo mrembo...[emoji4]
Nilitegemea ungeandika kilichotakiwa kuandikwaWalisafirisha.
ungefikiri.
wanafikiriaje.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Huyo mwanaume...alijua huwezi acha mke kwa kuwa amechepuka. Mwanamke ameletwa duniani kugegedwa hivyo basi sharing is caring.Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana.
Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja.
Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua watoto watatu kwenye ndoa hio ni wao kabisa.
Sasa msibani, mwanasheria alipewa nafasi ya kusoma mirathi, ni mwanasheria wake kabisa anayefahamika hata na familia kabisa. Alisoma mengi sana ila sasa kwenye utambulisho alisema kwamba,
Marehemu mtu flani alikuwa na mke mmoja wa ndoa na watoto 2 (nasio 3) wa kuwazaa. Watu tulishituka kidogo hata mkewe na watoto 3 wale.
Baadae akawataja majina, alimtaja mototo wa kwanza na wamwisho (tena alitaja kwa majina yao). Wa pili hakumtaja mwanasheria yule.
Kitu kile watu tulishangaa sana japo kichinichini. Hata ndugu nao walipata mshangao kidogo.
Walisafilisha maiti baadae.
Sasa watu tulijiuliza inamaana mama alichepuka akazaa na mtu mwingine?.
Baada ya kurudi kutoka kuzika nilisikia tuu kwamba yule mwanasheria aliongea jinsi marehemu alivyomwambia nini aseme kwa hio mengine hayo yeye hajui.
-Hivi ungekuwa wewe kama ni mke ungefanyaje na ungefikili watoto wanakufikiliaje mama yao???
-Au pengine wewe ni mtoto ambae hujatajwa pale ungejisikiaje, na mama yako ungemfikilije na mwishowe ungefanya nini?
-Na kama wewe ndo mtoto ambae umetajwa mwenzenu asiye Tajwa mungemuonaje na mngemfikilia nini mama yenu??
haya ni maswali nimejiuliza endapo ningekuwa mmoja wao pale sijui ingekuwaje
Hao watoto ni wa kubwa tuu wa mwisho kama anaumri wa miaka 27 hivi.
Karibuni jamani.
HahahaTatizo siyo wanafunzi, tatizo walimu wa kiswahili hawajui kufundisha kiswahili.
huyo bwana na mwanasheria wake busara zao ni ndogo mno,kitanda hakizai haramuKuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana.
Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja.
Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua watoto watatu kwenye ndoa hio ni wao kabisa.
Sasa msibani, mwanasheria alipewa nafasi ya kusoma mirathi, ni mwanasheria wake kabisa anayefahamika hata na familia kabisa. Alisoma mengi sana ila sasa kwenye utambulisho alisema kwamba,
Marehemu mtu flani alikuwa na mke mmoja wa ndoa na watoto 2 (nasio 3) wa kuwazaa. Watu tulishituka kidogo hata mkewe na watoto 3 wale.
Baadae akawataja majina, alimtaja mototo wa kwanza na wamwisho (tena alitaja kwa majina yao). Wa pili hakumtaja mwanasheria yule.
Kitu kile watu tulishangaa sana japo kichinichini. Hata ndugu nao walipata mshangao kidogo.
Walisafilisha maiti baadae.
Sasa watu tulijiuliza inamaana mama alichepuka akazaa na mtu mwingine?.
Baada ya kurudi kutoka kuzika nilisikia tuu kwamba yule mwanasheria aliongea jinsi marehemu alivyomwambia nini aseme kwa hio mengine hayo yeye hajui.
-Hivi ungekuwa wewe kama ni mke ungefanyaje na ungefikili watoto wanakufikiliaje mama yao???
-Au pengine wewe ni mtoto ambae hujatajwa pale ungejisikiaje, na mama yako ungemfikilije na mwishowe ungefanya nini?
-Na kama wewe ndo mtoto ambae umetajwa mwenzenu asiye Tajwa mungemuonaje na mngemfikilia nini mama yenu??
haya ni maswali nimejiuliza endapo ningekuwa mmoja wao pale sijui ingekuwaje
Hao watoto ni wa kubwa tuu wa mwisho kama anaumri wa miaka 27 hivi.
Karibuni jamani.
Daaah hii ina ukweli kabisaMarehemu alishajua kuwa huyo mtoto wa pili sio wake ndio maana akamkataa. Hiyo huwa ya kawaida na mara nyingi watoto wa pili huwa wa baba mwingine. Hii hutokea kwenye familia nyingi.
Mzee wangu alikuja kuoa mke mwingine baada ya mkewe wa ndoa kufariki. Huyu mke mwingine alizaa watoto wawili. Ila kabla hajazaa wa pili, fununu zilisema yule mama alikuwa anachepuka na mtu fulani. Mtoto alipozaliwa, kweli alifanana na yule aliyetajwa kwenye fununu. Kwenye mirathi, yule mtoto wa pili alitemwa. Hakutajwa popote.Mama yao ndo anaujua ukweli, mpaka hajaandikwa basi kuna mengi nguma ya pazia.
Wengi naonaga wanaawaandika hao watoto kwenye mirathi hata kama sio wao wa kuwazaa ila waliwalea, hasa wazee wa zamani kama huyo marehemu.
Genye za uzeeni.Ila nini kinachokuuma mama
Hamna bwana!!Hahaaaaa, yule Bro wangu kufanana na ndugu upande wa Mama ila hata sisi huwa tuna wasiwasi naye kama kwenu kulivyo yule ndugu yako wa pili. Huoni ana tabia na yupo tofauti na wengine?
Ha ha ha...asante nimefurahi tuWalisafirisha.
ungefikiri.
wanafikiriaje.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hii meseji nilishaiona mara nyingi, Hivi huwa anaijibu?!Mambo mrembo...[emoji4]
Alianza kujibu hapa karibuni nilipo mwambia nataka anisilimishe...๐Hii meseji nilishaiona mara nyingi, Hivi huwa anaijibu?!
Zinatokea wapi hizo tabia?Hamna bwana!!
Sema watoto wa pili sijui huwa wako na shida gani aisee!! Kwenye familia nyingi huwa wako kama wamevurugwa. Na wako na tabia za ajabuajabu na za kipekee.