Familia zina siri kubwa, mwanasheria msibani: Mwanasheria kazua gunzo msibani akisoma mirathi, watu tulishangaa sana

Huyo mwanaume...alijua huwezi acha mke kwa kuwa amechepuka. Mwanamke ameletwa duniani kugegedwa hivyo basi sharing is caring.
Mwanaume usije ukaacha mke eti kisa amegegedwa huko nje wee tulia nae tuu, ndivyo walivyo hawa viumbe
 
Huyo mzee mjinga. Alishindwa kumaliza kesi akiwa hai anasubir kufa ndo amalize kesi. Yeye angegawa tu mali, mbona fresh tu.
 
huyo bwana na mwanasheria wake busara zao ni ndogo mno,kitanda hakizai haramu
 
Marehemu alishajua kuwa huyo mtoto wa pili sio wake ndio maana akamkataa. Hiyo huwa ya kawaida na mara nyingi watoto wa pili huwa wa baba mwingine. Hii hutokea kwenye familia nyingi.
Daaah hii ina ukweli kabisa
 
Mama yao ndo anaujua ukweli, mpaka hajaandikwa basi kuna mengi nguma ya pazia.

Wengi naonaga wanaawaandika hao watoto kwenye mirathi hata kama sio wao wa kuwazaa ila waliwalea, hasa wazee wa zamani kama huyo marehemu.
Mzee wangu alikuja kuoa mke mwingine baada ya mkewe wa ndoa kufariki. Huyu mke mwingine alizaa watoto wawili. Ila kabla hajazaa wa pili, fununu zilisema yule mama alikuwa anachepuka na mtu fulani. Mtoto alipozaliwa, kweli alifanana na yule aliyetajwa kwenye fununu. Kwenye mirathi, yule mtoto wa pili alitemwa. Hakutajwa popote.
 
Hahaaaaa, yule Bro wangu kufanana na ndugu upande wa Mama ila hata sisi huwa tuna wasiwasi naye kama kwenu kulivyo yule ndugu yako wa pili. Huoni ana tabia na yupo tofauti na wengine?
Hamna bwana!!
Sema watoto wa pili sijui huwa wako na shida gani aisee!! Kwenye familia nyingi huwa wako kama wamevurugwa. Na wako na tabia za ajabuajabu na za kipekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…