MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya.
Leo nimeona na kusikia mama mmoja anamwambia mtoto wa kaka yake kuwa binti yake akipata mimba ni yeye atakuwa kampa kwasababu ya ukaribu walio nao. Nikajiuliza kwanini ndugu wanatiliana shaka?
Ninawasihi tukakatae huu ushetani.