Sawa, najua hilo kwamba kuna jamii ambazo ni jambo la kawaida na halionekani kwao kama limevuka mipaka ya kimaadili. Nilikuwa najaribu kutoa ufafanuzi tu lakini, hivyo usijali.Mkuu upande niliokulia na sitaji dini
Ni kawaida mabinamu huoana na sio mwiko kabisa
Ooh shukrani mkuu asante sana kwa ufafanuziSawa, najua hilo kwamba kuna jamii ambazo ni jambo la kawaida na halionekani kwao kama limevuka mipaka ya kimaadili. Nilikuwa najaribu kutoa ufafanuzi tu lakini, hivyo usijali.
Asante kwako piaOoh shukrani mkuu asante sana kwa ufafanuzi
Incest kwa binamu?Incest
Ubaya wake ni nini Kibailojia?kuna ambao wamezaa kabisa na ni damu Moja mabinamu..
Kibaolojia hairuhusiwi inbreeding ni mbaya.
Ni sawa,ni kama tu kumtafuna raraa reree wa JF .Vipi kuhusu kumtafuna mke wa kaka/mdogo wangu, kumtafuna shemeji yaani mdogo wa mke au dada yake yaani mashemeji kutafunana hii ni sawa?
Mabinam siyo damu mojakuna ambao wamezaa kabisa na ni damu Moja mabinamu..
Kibaolojia hairuhusiwi inbreeding ni mbaya.
Inbreeding,kizaliwacho huwa dhaifu na defects nyingi,maradhi mazito na ya mara kwa maraUbaya wake ni nini Kibailojia?
Mkukutana huko uraiani anakusalimia kwa heshima zote. Kumbe heshima imekolezwa nazi kwa bedUkute ni ile mnakulana kimya kimya hamna mwingine anaejua.
Noma sana, ukute mnakutanishwa na matukio kama msiba au harusi.Mkukutana huko uraiani anakusalimia kwa heshima zote. Kumbe heshima imekolezwa nazi kwa bed
Tafuna ndugu bila shida yoyote.. Lakini olewako uguse yule uloshea nae baba na mama, au hata wa mzazi mmoja.Noma sana, ukute mnakutanishwa na matukio kama msiba au harusi.
AiseeeeHaya mambo yameletwa na CCM