Kombe la dunia limeisha. Leta mahesabuAiseeeee..
Kuiga tabia za UchagganiWakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya.
Leo nimeona na kusikia mama mmoja anamwambia mtoto wa kaka yake kuwa binti yake akipata mimba ni yeye atakuwa kampa kwasababu ya ukaribu walio nao. Nikajiuliza kwanini ndugu wanatiliana shaka?
Ninawasihi tukakatae huu ushetani.
Bila kusahau waarabu wa Oman ndio chanzo cha hili tatizo.Haya mambo yameletwa na CCM
Uchagani wapi,,Kuiga tabia za Uchaggani
Sio ndugu yakosasa utakulaje mtoto wa mjomba/shangazi yako?
Ni sawa usishikwe tuVipi kuhusu kumtafuna mke wa kaka/mdogo wangu, kumtafuna shemeji yaani mdogo wa mke au dada yake yaani mashemeji kutafunana hii ni sawa?
Mbona waarAbu kibaolojia sio mbaya kwanini iwe kwetu ngozi nyeusikuna ambao wamezaa kabisa na ni damu Moja mabinamu..
Kibaolojia hairuhusiwi inbreeding ni mbaya.
Mi naona hakuna tabu labda mtoto wa ba mdogo au ma mdogo ndio tatizosasa utakulaje mtoto wa mjomba/shangazi yako?
Sasa kumla binamu kuna shida gani?Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya.
Leo nimeona na kusikia mama mmoja anamwambia mtoto wa kaka yake kuwa binti yake akipata mimba ni yeye atakuwa kampa kwasababu ya ukaribu walio nao. Nikajiuliza kwanini ndugu wanatiliana shaka?
Ninawasihi tukakatae huu ushetani.
Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya.
Leo nimeona na kusikia mama mmoja anamwambia mtoto wa kaka yake kuwa binti yake akipata mimba ni yeye atakuwa kampa kwasababu ya ukaribu walio nao. Nikajiuliza kwanini ndugu wanatiliana shaka?
Ninawasihi tukakatae huu ushetani.
Sasa sisiemu wanaleta haya mambo halafu wanaotafunana ni chadema.Haya mambo yameletwa na CCM
Sijui umetumia mantiki ipi maana ulichoandika wewe na ndugu hapo juu ni kimoja tu, mtoto wa baba mdogo au mama mdogo wote binamu. Na ni kukosa misamiati tu kwa lugha yetu, baba mdogo/mama mdogo ni uncle/aunt hivyo hivyo. Pia kibailojia hao watoto wote wanahusiana kwa nusu ya genetic material.Mi naona hakuna tabu labda mtoto wa ba mdogo au ma mdogo ndio tatizo
Mkuu upande niliokulia na sitaji diniSijui umetumia mantiki ipi maana ulichoandika wewe na ndugu hapo juu ni kimoja tu, mtoto wa baba mdogo au mama mdogo wote binamu. Na ni kukosa misamiati tu kwa lugha yetu, baba mdogo/mama mdogo ni uncle/aunt hivyo hivyo. Pia kibailojia hao watoto wote wanahusiana kwa nusu ya genetic material.
Mama hutoa nusu na Baba nusu wakati mtoto anapofanyika. Mama mdogo/mkubwa/mjomba wana DNA sawa, shangazi/Baba mkubwa au mdogo wanaDNA sawa. Naweza kuwa nimekosea lakini nafikiri ipo hivyo.