MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Inasikitisha sanakuna ambao wamezaa kabisa na ni damu Moja mabinamu..
Kibaolojia hairuhusiwi inbreeding ni mbaya.
😂😂😂Haya mambo yameletwa na CCM
Ma binamu kua na mahusiano kuna tabu gani?
Ndugu watamu saana, hamjui tuAcheni watu wakulane nyama ni tamu sana.
Asante kwa ushauri mzuriWakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya.
Leo nimeona na kusikia mama mmoja anamwambia mtoto wa kaka yake kuwa binti yake akipata mimba ni yeye atakuwa kampa kwasababu ya ukaribu walio nao. Nikajiuliza kwanini ndugu wanatiliana shaka?
Ninawasihi tukakatae huu ushetani.
Ukute ni ile mnakulana kimya kimya hamna mwingine anaejua.Ndugu watamu saana, hamjui tu
sasa utakulaje mtoto wa mjomba/shangazi yako?Ma binamu kua na mahusiano kuna tabu gani?
Kwa hiyo kisa kimoja tu ndo una generalise? Familia ziko shwari. Hali ya usalama ndani ya familia umeimarishwa.Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya.
Leo nimeona na kusikia mama mmoja anamwambia mtoto wa kaka yake kuwa binti yake akipata mimba ni yeye atakuwa kampa kwasababu ya ukaribu walio nao. Nikajiuliza kwanini ndugu wanatiliana shaka?
Ninawasihi tukakatae huu ushetani.