Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

Kuna jamii moja huko kanda ya kati, kijana akitaka kuoa wazazi wa pande mbili hukutana na kuchunguza kama kuna undugu. Wakigundua kuna undugu huamua kumtoza ng'ombe zaidi muoaji wakidai kuna undungu atoe ng'ombe wa kuvunja undugu huo ili waoane kabisa. Hii ni undugu wa mbali, kama kuna undugu wa karibu basi hakuna kuoa hapo katafute kwingine
 
Vipi kuhusu kumtafuna mke wa kaka/mdogo wangu, kumtafuna shemeji yaani mdogo wa mke au dada yake yaani mashemeji kutafunana hii ni sawa?
 
Kuiga tabia za Uchaggani
 
Sasa kumla binamu kuna shida gani?
Labda kwenu banah, sie kwetu binam na washenga unatuma kumuoa kabisa.
 

Awamu ya sita. Hayo mambo yameanzia juu yameshuka chini
 
Mi naona hakuna tabu labda mtoto wa ba mdogo au ma mdogo ndio tatizo
Sijui umetumia mantiki ipi maana ulichoandika wewe na ndugu hapo juu ni kimoja tu, mtoto wa baba mdogo au mama mdogo wote binamu. Na ni kukosa misamiati tu kwa lugha yetu, baba mdogo/mama mdogo ni uncle/aunt hivyo hivyo. Pia kibailojia hao watoto wote wanahusiana kwa nusu ya genetic material.

Mama hutoa nusu na Baba nusu wakati mtoto anapofanyika. Mama mdogo/mkubwa/mjomba wana DNA sawa, shangazi/Baba mkubwa au mdogo wanaDNA sawa. Naweza kuwa nimekosea lakini nafikiri ipo hivyo.
 
Mkuu upande niliokulia na sitaji dini
Ni kawaida mabinamu huoana na sio mwiko kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…