Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.

Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Kumbe DP worid walikuwepo tangu zamani wanasimamia bandari?
 
Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.

Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Tupe mrejesho
 
Kwanini tumeshindwa
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

View attachment 2656975
Kuna wanaohoji kwa nia njema yakutaka kujua tutafaidikaje na huo mkataba na ni sahihi,ila kuna wale wanaopinga bila ya kujua chochote..tatizo ndio linaanzia hapo..
But kwa uelewa wangu naona tunahitaji kubadilika ,business as usual imeshapitwa na wakati

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
90 Mb angalia mwenyewe. Afu we mbibi uawatetea kwa sababu za kidini.
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

View attachment 2656975
Tatizo hamuwapi Raia elimu ya kutosha kuhusu Faida na manufaa yatakayopatikana nanikwamda gani huo Mkataba utadum. Mnalaumu tu kuwa kuna watu wanapinga, mkae mkijuwa wanaowapinga wanahoja za maana namnatakiwa mzijibu, pia toeni Elimu ili hata wenye akili ndogo wawaelewe.
 
Haha
 
Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.

Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
Walioshindwa ni CCM tena team PWANI
 
Mbona hiyo elimu wamepewa na hoja za wapingaji zimejibiwa au unataka elimu wapeweje?
 
Hiyo buluu ikonomi akaikuze Zanzibar
Kote kote mpaka ziwani, leo anatembrlea bandari ya Mwanza.

Lazima tuhakikishe bandari zetu zinaingiza 100%, ya bajeti ya sasa.

Tunataka 2025 bajeti yetu ifike trillions 100. Tusiishi Kimasikini.
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali [emoji1484]

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

View attachment 2656975
Tatizo ni mkataba ulivyo ni general sana sio specific ni hatar sana inakuwa bandar ya ukoo kuna familia watakula pale had kifo chao na watoto watarithi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…