Fananisha bandari kavu zetu za Kwala na Isaka na hii ya DP World Kigali

Heat yangu usikupe shida, unafikiri mama'ko asigeingia kwenye heat ungezaliwa wewe? Tena inaonesha mama'ko anaingia heat kichizi ndiyo maana ukatoka chizi.
Heat yako inaleta shida sababu naona una jikalisha kalisha kizembe. Na huelewi unachoandika au unachosoma. Ndo shida ya kuolewa ukiwa na umri mdogo na mtu mwenye umri wa baba yako
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

View attachment 2656975
Hapo Kigali ndipo ambapo pia DRC Congo na Uganda watakapochukulia mizigo yao. Tz tunaenda kupoteza mapato ya bandari kwa asilimia kubwa sana.
 
kama una huo ubavu basi nenda ukawaondoe hao waarabu waliobarikiwa i know that huna ubavu huo, unadhani wakiikosa hiyo bandari watapungukiwa nini kwa mfano si utabaki na umasikini na chuki kwa waarabu with roho mbaya!!, hivi unafikiri wao wanategemea sana hiyo bandariyetu!! Utabakia kuwa masikini wanaofaidika na bandari hiyo ni wachache.

Una fikra za ajabu sana nkoi, unapaswa kubadilika sana na uache ule udikteta wa miaka ya 60 to 1985

Mama ana upiga mwingi
 
😄😄😄😄
 
AlhamduliLlah, ulitaka niufie upagani? Unanchekesha.

Naona Kagame ni Muislam, au siyo?

Mkikosa hoja mnaanza viroja.
Una akili ndogo sana,kama Kagame ameruhusu ushoga na sisi turuhusu kwa kua tu yy karuhusu.
 
Una akili ndogo sana,kama Kagame ameruhusu ushoga na sisi turuhusu kwa kua tu yy karuhusu.
Kuna mahali umeona nimesema tumfate Kagame? Au umelewa gongo?

Unaonesha ushoga umekuingia vizuri.
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

View attachment 2656975

Wataalamu wetu wanashindwa kufanya kazi Yao vizuri ya kuelimisha na kuclear sintofamu Kwa kutegemea watu kama wewe au wanasiasa
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

View attachment 2656975
Pumbavu kumbe ndo maana kagame alikuja aisee .
Dots connected...

Kwisha ..
 
Pumbavu kumbe ndo maana kagame alikuja aisee .
Dots connected...

Kwisha ..

wakati wote pesa mkizitumia kunywa mbege na gongo huku mkikimbiza mwenge mchana , siku zile zimekwisha tulia watu wajenge nchi
 
Watanzania tumeshindwa, tunaposhindwa ni lazima tuwawachie wanaoweza.

Unamuona Kagame ni mjinga kuwawachia DP World?
Waulize madereva waliokuwa wanaenda Kigali kabla ya bandari kushikwa na DP World na sasa, wakueleze tofauti yake.
  • Kumbe unaweza kutoa mwili wako wote, ili hali una miaka 60+.
  • Kumbe waliotoka uhuru waliwaonea tu wakoloni.
  • George Orwell aliandika vyema sana kuhusu Tanzania kwenye The Animal Farm
 
Hizo ndiyo ukisikia fikra za kimaskini.

Bandari yetu kwa kuendeshwa na DP World tumeshajihakikishia 100% ya mizigo ya Rwanda kukutua Dar.
...Na Wewe mara hii Umeishakua Wale Wale ?? [emoji57][emoji57]
 
Hakika.... unachokisema naona kina mwelekeo huo....
Mmeaminishwa ujinga.

Hakuna jambo zuri kwa uchumi wetu kama kuwa na DP World bandari zetu.

Sisi wenyewe tumefanya nini toka EAH ife?

Nyie wakuja hamuwezi kuujuwa uchumi wa bandari kana tuujuwavyo tuliozaliwa bandarini.
 
Kwa uchache bandari zetu kavu ni mabomu. Tazama bandari kavu mpya inayoendeshwa na DP World Kigali 👇🏾

Halafu kuna wajuba wachache wenye chuki za kijinga wanajaribu kuzuwia maendeleo.

View attachment 2656975
Sio Kila king'aacho ni dhahabu.Ili wapate faida ya hiyo bandari ndio maana wanataka Dar port.Watakachofanya ni kupitisha container nje ya mfumo hadi Rwanda zinakuwa cleared kwenda Congo na Burundi vile vile kwa mizigo ya kwenda ng'ambo
 
Wstu hawafanyi biashara kijinga kama unavyofikiria, siyo kikampuni cha kwenye briefcase kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…