Fani yako inakusaidiaje katika kutatua Kero za Jamii?

Wewe unafaida gani katika jamii?[emoji23]
 
Me n afsa ubashir natatua kero za vijana kwa kuwatengenezea mikeka yenye odd za kutosha kila siku na vijana wanafarijika na mm mtaani kwang huwa wana kauli yao wananiambia mungu aniweke miaka dahar sijui wanamaanisha nn
 
Jamii inaona mchango wako
 
Mimi ni nyange nyange Mr White natatua kero za madereva wazembe na wavunja sheria za barabarani nawasaidia kwa kuwachomoa afu mbili ya kubrashia viatu badala ya kuwalima mkeka wa afu 30.wananipongeza Sana na Mimi na wao tunaongea lugha moja
 
πŸ˜€ πŸ˜€ Hapo unasaidia au unaumiza, kwa nini usiwashauri tu bila kuchukua chochote?
 
Hapana si moja kwa moja. ya kwangu inawasaidia watoa maamuzi β€œDecision makers” wakija kuamua kwa usahihi kwa faida ya jamii basi nakuwa nimesaidia kutatua matatizo ya jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…