Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Kuna demu ye alijiwekea utaratibu,akija gheto ye moja kwa moja kwenye nguo zangu anasachi suruali baada ya suruali,kila akiniona lazima apige kizinga..kuna siku nikamtolea uvivu nilimuwashia full
Mbususu alikuwa anakupa lakini au na yenyewe alikuwa mchoyo
 
Kabisa mpe laki tano mwanamke afu jifanye umesahau buku ishirini kwenye suruali akifua ataiiba tu.
🤣🤣🤣🤣 Kweli kabisa yaani mke wangu hajawai ata siku moja kusema kuwa baba lerato, umesahau hela kwenye mfuko wako nimeiweka hapo kwenye dressing table
 
Pole mkuu, usibaki kuumia tu umepata funzo usirudie makosa
 
Vampires mkuu, wanachojua ni kuvuna wasipopanda, kunyonya kila penye unyevu
 
Asante mkuu, toka nijiunge jf yako ndio comment bora zaidi. Stay on your lane arif piga chini hawa kina Chaubwabwa Kandambili watakukwamisha malengo yako.
 
Kuna manzi mmoja nlimtania tu alifika ofisini kwangu nikachukua namba yake ya simu...aisee hata sijamtongoza tayari kashaanza kuniita baby, sijakaa vizuri vibomu ,vinaanza ...mara ooh baby ninashida ya pesa naomba nitumie.Nikamchekecha tu kuwa askilizie kuna ishu ikikaa poa ntamtumia....dah zilianza txt kama ugomvi ....umenidanganya hujanitumia, vp unantumia saa ngapi...n.k nkamrushia pesa ...kesho yake kuamka tu anashida tena ya pesa, mara sijui ana njaa hajanywa chai, mara sijui ana shida hii na ile .....ukicheki ni mke wa mtu. Nmempotezea mazima akipiga simu yake naiangalia tu siipokei.


Some women are disgusting parasites, hawana faida yoyote zaidi ya kukunyonya tu.

Kuna mwingine nilikuwa na namba yake muda mrefu tu, siku nikamtxt tu...kwenye kuchat ..akaanza nina shida ya kiasi kadhaa niazime ntakurudishia ..daaah nikampa kumpima tu ila nlijua kuwa hapa hakuna mpango wa kurudishiwa, mara ametengeneza mazingira niwe mpenzi wake , sijakaa vizuri vibomu vinaanza mara sijui nina shida ya pesa hivi, mara sijui hapa nadaiwa kwenye biashara ,mara mtoto wangu anaumwa sina pesa ya hospitali n.k .Nikaancha kumpa attention, na yeye akapunguza mawasiliano na mimi, nikimtxt hajibu sms zangu kama mwanzo ,unaweza ukamtxt watsapp ukaona blue ticks halafu asijibu, nikakata mawasiliano , ila cha ajabu hanitafuti mpk awe na shida ya kitu kutoka kwangu .Nishamjulia nami namfungia tinted tu.

Duniani kuna wanawake wawili tu ndio wamekuwa wema kwangu, wa kwanza ni Mama yangu kipenzi (Mungu amjaalie afya na umri wenye baraka tele) na wa pili ni mke wangu kipenzi. Hawa ndio wanawake bora kwangu.

Mke wangu alinipenda in a mysterious unconditional way na kama nikifanikiwa huko mbeleni naweza kuandika kitabu juu yake. Nathubutu kusema kuwa sijapata na sidhani kama ntakuja kupata tena mwanamke kama yeye mpk naondoka katika mgongo huu wa ardhi.
 
NONSENSE!
 
Takers have no shame mkuu, usiwape hata punje ya dakika watapenyenza pua zao kunusa ankara. Wao ni pesa tu ndio kitu wanajua spelling hata wakiwa usingizini
 
Takers have no shame mkuu, usiwape hata punje ya dakika watapenyenza pua zao kunusa ankara. Wao ni pesa tu ndio kitu wanajua spelling hata wakiwa usingizini
Kweli kabisa na ndio chanzo cha ufukara kwa wanaume wengi!!! Fuatilia anguko kubwa la wanaume wengi waliowahi kujaaliwa kuwa na pesa na kipato hapa duniani lilikuwa ni wanawake. Ni nuksi na ni laana hawa viumbe.

Wanawake pekee ambao mwanaume ukitoa pesa yako haipotei kwako ni mama yako mzazi, mkeo, watoto wako wa kike na dada zako ila hao wengine wote wapo kimaslahi na wewe.
 
Ukiwa kauzu huna time nao ndo wanakufata fata ili wakuharibie tu
Waharibie kabla hawajakuharieia mkuu, wakati niko ajirani kama HR walikua wanajileta kwa nilikua natomb.a na kuweka pendina application status zao kwa miaka 6 sikupenyeza hata mwanamke 1 ila wanaume tu kuna wengine sasa hivi wapo hapo wizarani na story kama kawa ila wangekua hawa mbu ni majivuno tu.
 
Ndugu kwani umekuwa na nini?au umeshaangushiwa kiti kizito kichwani?Ila uyasemayo kama Yana ukweli vile🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…