Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Kuna demu ye alijiwekea utaratibu,akija gheto ye moja kwa moja kwenye nguo zangu anasachi suruali baada ya suruali,kila akiniona lazima apige kizinga..kuna siku nikamtolea uvivu nilimuwashia full
Mbususu alikuwa anakupa lakini au na yenyewe alikuwa mchoyo
 
Kabisa mpe laki tano mwanamke afu jifanye umesahau buku ishirini kwenye suruali akifua ataiiba tu.
🤣🤣🤣🤣 Kweli kabisa yaani mke wangu hajawai ata siku moja kusema kuwa baba lerato, umesahau hela kwenye mfuko wako nimeiweka hapo kwenye dressing table
 
Mkuu umegusa maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana. Niliwahi kuwa na rafiki wa kike wakati nipo advance tulikua tunakaa mtaa mmoja ila tukawa tunasoma advance mikoa tofauti. Nilitokea kumjali sana maana nilikua namsalandia. Nakumbuka vingi nilipoteza kwake ila kwakua nilikua na hisia nae sikuhesabu chochote.
Mungu sio athumani tukaenda chuo kimoja iringa mkwawa bando upendo uliendelea palepale tena zaidi nakumbuka nilimtoa lanchi nyingi sana. Nakumbuka muda aliokua akiishiwa bumu alikua anakuja geto anapika anakula na maisha yanaenda. Ilitokea me nikaacha chuo nikaludi home coz hiyo kozi niliokua naisoma ni kama sikuipenda nililazimishwa, tangu niludi hivi sasa ni mwezi wa 5 hajawahi kunipigia sim wa kutuma text. Nilijalibu kumpigia sim ila respond yake ikawa mbovu sana kuanzia hapo nikampotezea hadi leo

Nimeuona huu uzi umenikumbusha mbali sana. Big up broo
Pole mkuu, usibaki kuumia tu umepata funzo usirudie makosa
 
Wao tu ndio huwa na bahati mbaya. Mshahara haujaingia kwa wakati, njaa inamuuma muda wowote ukimuuliza kama amekula, anaumwa muda wowote ukimuuliza ameshindaje, anapenda outings ambazo zinakucost wewe, hauwez kuwasiliana nae mpaka umnunulie bando.
Kama anasoma basi amekwama Ada. Kama amepanga hata miaka mitatu, akikutana na wewe kodi inaanza kumshinda kulipa.
Mbaya sana unakuta wote labda tuseme ni walimu, na maanisha wewe na yeye. Mshahara mnapata unaofanana. Lakini katika expenditures yeye anakua hana kabisa jaya nauli ya kukutania kwenye venue [emoji16]. Yaani Mia 4 hana. Saivi nauli imepanda sijui itakuaje.
Lakini yote ya yote, hawa watu hawana shukrani na yupo tayari kuku dump muda wowote kama atapata mwingine wa kumghalamia mahitaji yao.
Kibaya zaidi, unaweza kumnunulia gari lakini akaja kugongwa na mtu alimsaidia 5,000 ya mafuta [emoji24][emoji24]
Vampires mkuu, wanachojua ni kuvuna wasipopanda, kunyonya kila penye unyevu
 
Uz

Toka nijiunge na jamii forum sijawahi kupata kuona uzi uliobora na wenye ukweli ndani yake kama uzi huu!!! Ubarikiwe sana mkuu kwa kunyoosha maelezo . Hayo yalinikuta sana ktk maisha yangu ya A-level na chuoni, i was too kind n tender to them kiasi nasahau hata malengo yangu. Naacha kupiga misuli yangu ili niwasaidie wao pale ambapo walikuwa hawaelewi.

Naunakili uzi wako kwa wino wa dhahabu ili usifutike daima kichwani na moyoni mwangu na pia nije kuwarithisha wanangu.

Pia kwa waislam, Mtume Muhammad (pbuh) alisema kuwa wakati alipopaishwa na Mungu katika safari ya Miraji alioneshwa kuwa wakazi wengi wa motoni watakuwa ni wanawake. Wanafunzi wake wakamuuliza kwanini akawaajibu kuwa wanakithirisha laana na pia ni wakosefu wa shukrani (hasa kwa waume zao). "

Mwanamke hata umfanyie nini huwa ni mchache sana wa kushukuru.
Asante mkuu, toka nijiunge jf yako ndio comment bora zaidi. Stay on your lane arif piga chini hawa kina Chaubwabwa Kandambili watakukwamisha malengo yako.
 
Kuna manzi mmoja nlimtania tu alifika ofisini kwangu nikachukua namba yake ya simu...aisee hata sijamtongoza tayari kashaanza kuniita baby, sijakaa vizuri vibomu ,vinaanza ...mara ooh baby ninashida ya pesa naomba nitumie.Nikamchekecha tu kuwa askilizie kuna ishu ikikaa poa ntamtumia....dah zilianza txt kama ugomvi ....umenidanganya hujanitumia, vp unantumia saa ngapi...n.k nkamrushia pesa ...kesho yake kuamka tu anashida tena ya pesa, mara sijui ana njaa hajanywa chai, mara sijui ana shida hii na ile .....ukicheki ni mke wa mtu. Nmempotezea mazima akipiga simu yake naiangalia tu siipokei.

Some women are disgusting parasites, hawana faida yoyote zaidi ya kukunyonya tu.

Kuna mwingine nilikuwa na namba yake muda mrefu tu, siku nikamtxt tu...kwenye kuchat ..akaanza nina shida ya kiasi kadhaa niazime ntakurudishia ..daaah nikampa kumpima tu ila nlijua kuwa hapa hakuna mpango wa kurudishiwa, mara ametengeneza mazingira niwe mpenzi wake , sijakaa vizuri vibomu vinaanza mara sijui nina shida ya pesa hivi, mara sijui hapa nadaiwa kwenye biashara ,mara mtoto wangu anaumwa sina pesa ya hospitali n.k .Nikaancha kumpa attention, na yeye akapunguza mawasiliano na mimi, nikimtxt hajibu sms zangu kama mwanzo ,unaweza ukamtxt watsapp ukaona blue ticks halafu asijibu, nikakata mawasiliano , ila cha ajabu hanitafuti mpk awe na shida ya kitu kutoka kwangu .Nishamjulia nami namfungia tinted tu.

Duniani kuna wanawake wawili tu ndio wamekuwa wema kwangu, wa kwanza ni Mama yangu kipenzi (Mungu amjaalie afya na umri wenye baraka tele) na wa pili ni mke wangu kipenzi. Hawa ndio wanawake bora kwangu.

Mke wangu alinipenda in a mysterious unconditional way na kama nikifanikiwa huko mbeleni naweza kuandika kitabu juu yake. Nathubutu kusema kuwa sijapata na sidhani kama ntakuja kupata tena mwanamke kama yeye mpk naondoka katika mgongo huu wa ardhi.
 
NONSENSE!
 
Takers have no shame mkuu, usiwape hata punje ya dakika watapenyenza pua zao kunusa ankara. Wao ni pesa tu ndio kitu wanajua spelling hata wakiwa usingizini
 
Kweli kabisa na ndio chanzo cha ufukara kwa wanaume wengi!!! Fuatilia anguko kubwa la wanaume wengi waliowahi kujaaliwa kuwa na pesa na kipato hapa duniani lilikuwa ni wanawake. Ni nuksi na ni laana hawa viumbe.

Wanawake pekee ambao mwanaume ukitoa pesa yako haipotei kwako ni mama yako mzazi, mkeo, watoto wako wa kike na dada zako ila hao wengine wote wapo kimaslahi na wewe.
 
Ukiwa kauzu huna time nao ndo wanakufata fata ili wakuharibie tu
Waharibie kabla hawajakuharieia mkuu, wakati niko ajirani kama HR walikua wanajileta kwa nilikua natomb.a na kuweka pendina application status zao kwa miaka 6 sikupenyeza hata mwanamke 1 ila wanaume tu kuna wengine sasa hivi wapo hapo wizarani na story kama kawa ila wangekua hawa mbu ni majivuno tu.
 
Wakuu salaam,

Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari.

Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.

They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.

Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.

Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.

Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)

Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.
Ndugu kwani umekuwa na nini?au umeshaangushiwa kiti kizito kichwani?Ila uyasemayo kama Yana ukweli vile🤔
 
Back
Top Bottom