Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

kuna mmoja akaniomba elf 5,nikampa. Akaniomba 20k nikwambia na mimi naomba k. Akasema basi ameomba kama bro. Nikamwambia niwe nakupa tu hela burebure kwani mimi sina ndugu wa kike wenye shida?
Daah ila hawa wanawake wa ajabu muda mwingine ngoja namie nichangamshe thread.

Mosi, Kuna dada nimesoma nae shule moja, deskmate wangu ndio alikuwa anahusishwa kutoka na huyo dada
Basi from nowhere napigiwa simu usiku ,mie fulani nashida na hela laki 3, nikamchana sina, hazijapita siku nyingi anaomba hela 12k ya luku umeme na bla blaa kibao, nikaona sio kesii nikampa.
Aaiende kujisifu kwa jamaa yake ambae ni rafiki yangu, kuwa mie ndio mwanamme sijui nn.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Story zikawa nyingi . Juzi hapa kataka nimkope laki 2 nikasema sina nimeagiza mzigo sio muda, mbaya zaid dada mwenyewe hajulikan anafanya mishe gani kwa Makala hapa yaaan shida tuu.

Pili, mwingine huyo kauona mkoba 35k anataka mie nimnunuliee , nikapiga chini

Nlichonifunza wadada wakiona unamaisha fulani shobo zinakuwa nyingi.
Tunza nyumbani aiseee, kama una ndugu saidia hao
 
Tatu, mwingie ni vibomu vya mara buku 3 mara 2, mala maisha magumu sijui nini daaah

Nne, Mwingine ananiitaga kaka, miez kibao hatujaongea ,anakuja inbox na emoji za kulia eti amenimiss .....[emoji28][emoji28] Nikamuambia tu najua shida yako , maombi ya sensa na apply mwa gharama hizi... Akaghail mara sina namba ya NIDA Faaalaaa sana
 
mm kuna mwanamke alinifanyia unyama nilivorud nyumban zile nguo niliovaa nilizichoma moto washikaji walinikataza nisichome zile nikawaambia hapana hiz nguo hazinifai tena mpka viatu niliviunja niliweka nadhiri kwamba iwe mvua iwe jua simkopeshi mwanamke hela ata nimkupe leba kisha qnionewhe cheque kwangu ni big no
 
Tatu, mwingie ni vibomu vya mara buku 3 mara 2, mala maisha magumu sijui nini daaah

Nne, Mwingine ananiitaga kaka, miez kibao hatujaongea ,anakuja inbox na emoji za kulia eti amenimiss .....[emoji28][emoji28] Nikamuambia tu najua shida yako , maombi ya sensa na apply mwa gharama hizi... Akaghail mara sina namba ya NIDA Faaalaaa sana
Halafu hao wa kuita kaka ndio wabaya zaidi,anakuita kaka kukuchanganya. Mi huwa nawaambia sio kaka yako
 
Hukusoma hapa.
 
Huu uzi umenikumbusha kisa changu na mwanamke mmoja hivi kati ya 2008 mpaka 2012.

Ni mwanamke wangu wa kwanza kwenye mahusiano, nililazimika kukaa nae geto kipindi hicho kwa sababu ya shida zake binafsi na nyumbani kwao. Alikuwa amefukuzwa kwao.

Kipindi hiko 2008 ndiyo na miezi kama 5 hivi tokea nipange na kujitegemea hata sikua nimefika mbali kiivile.ndio nilikua naanza maisha hapo hapo na mke juu, na alikua mwanamke wangu wa kwanza.

Nilikua na maisha magumu kwa kiasi kikubwa sana, yule binti aliumwa wa kulala kitandani kama mwaka na nusu hivi, maisha yangu na yule msichana yalikua magumu sana siku pata msaada popote pale iwe nje ama ndani, nilikomaa naye mpaka akapona na mimi nilirudi nyuma kiuchumi kwa kiasi kikubwa .

Ilibidi nimtafutie biashara eneo fulani lenye pilikapilika sana, haikupita miezi mitatu akaniambia amenivumilia sana anaona bora aondoke amepata bwana mwingine mimi ni maskini sana.

Alisahau mimi nilimvumilia mwaka na nusu wa kuugua kwake hata sex ilikuwa no.

Mwishowe akaondoka na vyombo ingawa nilinunua tukiwa nae lakini alibeba vyote akaondoka huku namungalia kwa machozi, kibaya zaidi huko aliko enda olewa na huyo bwana alikuja kumchukua mlangoni kwangu kabisaa.

Ingawa niliumia sana,nilirudi nyuma sana, lakini nilipoona yale maumivu.

Mwanamke huwa inapofika wakati wa kufanya lile linalo mfaa kwa wakati huo huwa haifikirii jana wala kesho, hana huruma hata kama wewe ni nani, hajali machozi ya mtu.

Kwa namna hio wanaume wengi kwa namna moja ama nyingine wameumizwa sana tena sio mara moja au mbili wala tatu, ndio maana kilio na malalamiko yamekua mengi mno.

Mwanamke ni mtu mzuri sana akiwa mama, na binti yako, akitoka hapo haki ya Mungu ishi nao kwa tahadhari sana.
Mkuu nawewe ulikubali kumwangalia tu anachukua mali zako ili aende kwa bwana wake...aisee kuna watu mmeumbwa na mioyo ya uvumilivu sana...kwangu ningemuaga na mapanga kmmmk
 
Km
Siyo kukwambia tuu...Atakukimbia na kuolewa na mwanaume mwingine.Mambo yakibadirika kulee na huku kwako yakawa fresh.
Bila aibu,anarudi kuomba msamaha muwe kama zamani.
Kmmmk dah !! Mi nlikutana na matukio aisee mpk kesho mwanamke naishi nae kwa tahadhari sana na ule moyo wa kupenda mazima ulishakufa kitambo sana.
 
Daily reminder
1176291375.jpg
 
mm kuna mwanamke alinifanyia unyama nilivorud nyumban zile nguo niliovaa nilizichoma moto washikaji walinikataza nisichome zile nikawaambia hapana hiz nguo hazinifai tena mpka viatu niliviunja niliweka nadhiri kwamba iwe mvua iwe jua simkopeshi mwanamke hela ata nimkupe leba kisha qnionewhe cheque kwangu ni big no

Kilikukuta nini mkuu?
 
eti kweli hatujui kushukuru... onyesha sisi hatujui kushukuru..

unasema huwezi kuchukia wanaume wote, japokua umeumizwa, in other words unasema ni vibaya ku generalize, at the same time unageneralize sisi wanawake ni viumbe tusiojua kushukuru??? dada uko single nini? 😳😳😳😡
Sorry nilitaka kusema sio wote ila wapo.Na siwezi kuchukia kila mwanaume coz upeo was ufahamu Ni tofauti.no sipo single.
 
Sorry nilitaka kusema sio wote ila wapo.Na siwezi kuchukia kila mwanaume coz upeo was ufahamu Ni tofauti.no sipo single.
Mnhhh mkuu umesema sisi wanawake hatuna shukurani, wala hukuainisha sio wote...
 
mselaaaaa kaja kuchukua mzigo mlqngoni hata kukinukisha umeshindwa
Nilipigwa na butwaa ndugu yangu hata sikuamini kama ni kweli, yule msichana nilimuona zaidi ya mke, zaidi ya dada, kama vile alikua pacha wangu, na vile tulikuwa tuna umri mmoja, kimo kimoja elimu moja Yaani kila kitu tulikua tumefanana. Sikuamini kama ni kweli tuliachana tena mpaka leo hivi ni miaka kumi sasa tokea tuachane siiamini amini yaani!

Ashukuriwe Mungu alinipa kulia siku ile badala ya fuko, ishukiriwe pombe aina ya valeur.
 
Back
Top Bottom