Hahahahahah napoteza nguvu zangu kwani unanilipia bando? wewe una wasiwasi wa nini????ujuaji ni wewe mkuu, hata mtu akikufafanulia vitu unashupaza shingo!...na kuinterpret vitu differently kisa vinafit tu na jinsi unavyotaka vitu viwe.....
Halafu nimegundua una tatizo la kuelewa, comprehension yako ni -Ve!, siko hapa kupoteza muda kwa watu sio tu wenye uelewa mdogo wa mambo, bali pia wajuaji, pia wabishi, pia si wasikilizaji, pia wanaodhani wanwake ni mazimwi!, sidhani kama itakuwa wise mimi kuendelea kubishana na wewe mkuu, baki na msimamo wako nibaki na wangu, siwezi kuendelea kushushia vitu huvielewi,unainterpret differently...No way!, karibu siku nyingine kwa arguments... bye, peace!...yes mkuu
Mervin kuanzia sasa naku ignore rasmi, feel free kuandika chochote, sitakujibu.