Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

hahahah nyie wachukia wanawake ndio huwa mnamjibu mtu anayewachallenge kidogo kwa matusi ya Nguoni...eti bwawa, sugar mumy,malaya...tunawasoma na kuwazooom tuu....tunacheka hihiihiiii in Magufuli's voice!

Eti you never chose me, huna hadhi ya kuwa na mimi, una hadhi ya kukaa na hao hao wadada wanaoku treat like shit!...

.. Sababu is exactly what you deserve,
Nitolee upumbavu wako hapa. Kwani sio malaya kweli?? Mnadhani hatuwajui?? Asilimia kubwa humu ni wadangaji tu. Tuna na maushahidi ya kutosha
 
Acha kulialia wewee tulia dawa iwaingie

Usilie dada we tanua vizuri dawa ikuingie. Unaonekana umezoea kitonga sasa mada kama hizi zinakupa mawenge, kaa kwakutulia.

Kitonga hoyeeeeeeeeeeeee
 
Hahahahahah napoteza nguvu zangu kwani unanilipia bando? wewe una wasiwasi wa nini????ujuaji ni wewe mkuu, hata mtu akikufafanulia vitu unashupaza shingo!...na kuinterpret vitu differently kisa vinafit tu na jinsi unavyotaka vitu viwe.....

Halafu nimegundua una tatizo la kuelewa, comprehension yako ni -Ve!, siko hapa kupoteza muda kwa watu sio tu wenye uelewa mdogo wa mambo, bali pia wajuaji, pia wabishi, pia si wasikilizaji, pia wanaodhani wanwake ni mazimwi!, sidhani kama itakuwa wise mimi kuendelea kubishana na wewe mkuu, baki na msimamo wako nibaki na wangu, siwezi kuendelea kushushia vitu huvielewi,unainterpret differently...No way!, karibu siku nyingine kwa arguments... bye, peace!...yes mkuu Mervin kuanzia sasa naku ignore rasmi, feel free kuandika chochote, sitakujibu.
Ignore.Kwani wewe wakati unasema unapoteza muda wako na nguvu zako.Wewe ndiye UNAYE nipa bando.Una anajibu ki hisia na siyo kile ambacho kimeandikwa.Ujuaji mwingi , kukurupukaa kwingi,kusoma Kwa mhemko kwingi.

Kuwa single mother siyo shida.Laumu kichwa chako
Ignore
 
Nitolee upumbavu wako hapa. Kwani sio malaya kweli?? Mnadhani hatuwajui?? Asilimia kubwa humu ni wadangaji tu. Tuna na maushahidi ya kutosha
Wewe ndio utoe upumbavu, unanijua hunijui, who gives a shit?!..mbona unaenda kwa wadangaji sasa kama hupendi wadangaji?
 
hahaah unadhani kila mtu amekua shaped na experiences mbaya kama nyie???, there are still good men outhere, kama jinsi ilivyo kuna still good women outhere,si kweli kuwa wanawake wote na wabinafsi kama mnavyotaka kuaminisha watu kwenye uzi huu.... jifunze sana kwa watu aina ya prumpeti ...... 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 😍 kama unataka kuishi ndoa ya amani na mkeo!!
Me sijasema wanawake wote ni wabaya na hawafai wakati nimewahi kuishi na wanawake wazuri sio tu sura hata matendo yao ingawa nawakumbuka walikuwa ni wawili I think ila wa ovyo ni wengi
 
mkuu umeendekeza ngono sana ndomana dada powa wamekupora courage ya umwanaume..

sifa ya mwanaume ni kujiamini..mi siwezi kutongoza mwanamke hapa..
Hayo uliongea ni mawazo yako hiv nikuulize hivi Unaweza kuhesabu kwa idadi wanawake ambao watakuvulimia ukiwa hauna kitu na hasikusaliti kwa kizazi hiki
 
Me sijasema wanawake wote ni wabaya na hawafai wakati nimewahi kuishi na wanawake wazuri sio tu sura hata matendo yao ingawa nawakumbuka walikuwa ni wawili I think ila wa ovyo ni wengi

Sawa mkuu, generalization ni mbaya, sio kweli wanawake wote ni wabinafsi na hawafai kusaidiwa!, hii ndio thread ya mtoa mada yenyewe, which is wrong!,

as wanawake wengi kuwa hovyo hii ni subjective experience ya mtu tu... na hatuwezi tuka arrive conclusion ama tuka make generalization basing on subjective experiences za mtu... is what I'm against...
 
Hayo uliongea ni mawazo yako hiv nikuulize hivi Unaweza kuhesabu kwa idadi wanawake ambao watakuvulimia ukiwa hauna kitu na hasikusaliti kwa kizazi hiki
hata mtoto wako hawezi kuvumilia anapokosa mahitaji na anaona watoto wenzake baba zao wanafanikisha..
 
Iwe fundisho kwako mkuu, tunahitaji ubaki na furaha na amani ya moyo wako maisha ni matamu haipaswi kumiss kua na furaha. Be smart
ASAP
Iko hivi. Baada ya bro kumaliza chuo, akawa amerudi kitaa kuendelea na deal zake,, kama unavyojua vibez za akina bimkubwa Waka mfosi bro aoe, by the way bro at that time alikua Hana mpango huo wa Kuoa alifanya kumridhisha bimkubwa.. Aisee bna bro akaona isiwe kes akaoa (hapo ndipo shida ilipo anzia)

Bna bna baada ya kuoa yule mke, kesi zikawa haziishi kila siku ugomvi kuja ku solve pale hom.. Ukitrace back ugomvi wao vitu vya kijinga

Ikafika mahala bro akawa hapikiwi chakula kisa kaacha hela ndogo akati humo ndani kwao kuna vyakula vyote na kila kitu.. Yaan hela ya ku nunua mboga 5000 et ndogo!! (usawa wa magufuli Enzi hizo si mlikua mnaujua wazee😇)

Mamaqee bna bna bro akaanza kusanda haeleweki , alikua ana ndinga akapiga bei, sometimes akija home anaongea maneno hayaekeweki , kiujumla akawa nusu kichaa hopeless😢..mother ni mtu wa dini (mwaposa akasome 😂😂 jokes tu wapakwa mafuta mnisamehee🙏🙏) , so akawa ameingia kwenye Maombi ndio automatically yule mwanamke akawa anasema mambo mengi, kuna siku bro anasimulia anasema wamekaa ndani , yule mwanamke akawa anamuogesha mtoto miez7 maji ya baridii (barid la mbeya mnalijua) so ile bro KWENDA kumgombeza yule mwanamke, ghafla yule mwanamke akapatwa hasira, sura ikabadilika na nguvu za ajabu mithili ya bondia , akamnyanyua bro, yaan akamkunja shati na kumbamiza ukutani then akatamka maneno '' nyie na Familia yenu hamnijua vizuri mim ni nan!!''

To cut off story matukio mengi nimeruka hapo. Yule mwanamke ni mchawii since alimtamkia bro kwa maneno yake mwenyewe, ku trace back ile Familia, kumbe baba yao alimkimbia mama wa huyo mwanamke kwa ishu za kichawii na by the way alimpigia simu bro akamwambia '' huyo mke wako ni mwanangu wa kumzaa ko kama unataka kufa we endelea kua naye''

Ili kua ngumu Sana kuvunja Ndoa ile maana yule mwanamke alikua mchawii haswaa mpaka na andika hivi now bro wangu bado hajarudi katika default settings mda wote analia akimkumbuka huyo mwanamke. Dunia Ina mengi sana nlikuaga siamini UCHAWI Lakin n kwa sasa huwez ukanishauri kitu kuhusu uchawii.. Uchawi upo!!!
 
Back
Top Bottom