Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,052
- 4,621
Mwanamke ndo binadamu pekee aliyeongea na shetani uso kwa usoYote yalikwisha pale msalabani, dhambi zetu zote zilifutwa!, inaelekea wanaume mna kinyongo kisa shetani alitulaghai...🤣🤣🤣🤣😡,...
@Rebeca 83 I just loved you today you ur a hardliner, I wish you would be my business partner.Mnhhh mkuu umesema sisi wanawake hatuna shukurani, wala hukuainisha sio wote...
Aise mpaka mwili umesisimka, wanawake ni wakukaa nao kitaalam sana sanaIko hivi. Baada ya bro kumaliza chuo, akawa amerudi kitaa kuendelea na deal zake,, kama unavyojua vibez za akina bimkubwa Waka mfosi bro aoe, by the way bro at that time alikua Hana mpango huo wa Kuoa alifanya kumridhisha bimkubwa.. Aisee bna bro akaona isiwe kes akaoa (hapo ndipo shida ilipo anzia)
Bna bna baada ya kuoa yule mke, kesi zikawa haziishi kila siku ugomvi kuja ku solve pale hom.. Ukitrace back ugomvi wao vitu vya kijinga
Ikafika mahala bro akawa hapikiwi chakula kisa kaacha hela ndogo akati humo ndani kwao kuna vyakula vyote na kila kitu.. Yaan hela ya ku nunua mboga 5000 et ndogo!! (usawa wa magufuli Enzi hizo si mlikua mnaujua wazee😇)
Mamaqee bna bna bro akaanza kusanda haeleweki , alikua ana ndinga akapiga bei, sometimes akija home anaongea maneno hayaekeweki , kiujumla akawa nusu kichaa hopeless😢..mother ni mtu wa dini (mwaposa akasome 😂😂 jokes tu wapakwa mafuta mnisamehee🙏🙏) , so akawa ameingia kwenye Maombi ndio automatically yule mwanamke akawa anasema mambo mengi, kuna siku bro anasimulia anasema wamekaa ndani , yule mwanamke akawa anamuogesha mtoto miez7 maji ya baridii (barid la mbeya mnalijua) so ile bro KWENDA kumgombeza yule mwanamke, ghafla yule mwanamke akapatwa hasira, sura ikabadilika na nguvu za ajabu mithili ya bondia , akamnyanyua bro, yaan akamkunja shati na kumbamiza ukutani then akatamka maneno '' nyie na Familia yenu hamnijua vizuri mim ni nan!!''
To cut off story matukio mengi nimeruka hapo. Yule mwanamke ni mchawii since alimtamkia bro kwa maneno yake mwenyewe, ku trace back ile Familia, kumbe baba yao alimkimbia mama wa huyo mwanamke kwa ishu za kichawii na by the way alimpigia simu bro akamwambia '' huyo mke wako ni mwanangu wa kumzaa ko kama unataka kufa we endelea kua naye''
Ili kua ngumu Sana kuvunja Ndoa ile maana yule mwanamke alikua mchawii haswaa mpaka na andika hivi now bro wangu bado hajarudi katika default settings mda wote analia akimkumbuka huyo mwanamke. Dunia Ina mengi sana nlikuaga siamini UCHAWI Lakin n kwa sasa huwez ukanishauri kitu kuhusu uchawii.. Uchawi upo!!!
Hukusoma hapa.
uuUsimuonee huruma Mwanamke
Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi. Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya...www.jamiiforums.com
@Rebeca 83 I just loved you today you ur a hardliner, I wish you would be my business partner.
Hukusoma hapa.
Usimuonee huruma Mwanamke
Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi. Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya...www.jamiiforums.com
Nyie ni kizazi cha haki sawa, hamsini kwa hamsini, ni wanyonyaji na pia ni wauwaji, yaani nyinyi ndo mashetani kabisaNonsense!
hawa wanawake wa sasa wako wired differently????
Au wametoka Mars na sio product ya wamama hao hao wa zamani???
Karibu sanaa Rebecca my Iron lady....no retreat no surrender loh!Thanks mkuu, nipe connection basi...?,lol
...Mkuu, sisi ni products za hao hao mama unaoona tusijifananishe nao... otherwise usini provoke please, sisi ni DNA za mama, bibi, nothing is different...kama unaona sisi ni mashetani, chances are bibi na mama zetu walikua mashetani, lolNyi
Nyie ni kizazi cha haki sawa, hamsini kwa hamsini, ni wanyonyaji na pia ni wauwaji, yaani nyinyi ndo mashetani kabisa
Hamfai kuonewa huruma wala kusaidiwa kwa chochote, yaani msijifananishe na mama zetu hata kidogo
Acha tu bro nilipigwa butwaa maana ilikua ni gaflaMkuu nawewe ulikubali kumwangalia tu anachukua mali zako ili aende kwa bwana wake...aisee kuna watu mmeumbwa na mioyo ya uvumilivu sana...kwangu ningemuaga na mapanga kmmmk
''Unaweza kutabasamu kwa mema na mazuri uyakumbukayo''Acha tu bro nilipigwa butwaa maana ilikua ni gafla
Na hao mnaowalaumu wamefikaje hapo? Nyie si ndio vichwa na mnasemaga ndio viongozi wetu. Haya mkae kikao mje na suluhisho. Hayo makasiriko hayatosaidia.Mnaumiza sana watoto wa watu. Sijui huko mbeleni mabinti zetu wataishi vipi kwenye mahusiano maana nina uhakika watalipia madhambi wanayofanya wanawake wa kizazi hiki na kinachoishia.
Wanaume wa sasa wanaitaka ndoa ila hayo matoto ya kiume yatakayokuja hayatakuwa na time na mambo ya ndoa ni kutia mimba na kusepa na hakuna kitu utafanya.
Ni suala la ukata wa pesa au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Humo ndani mwake ana miliki kiti kimoja cha ngozi yaani hakuna kingine sijui sofa au nini no
Hawa walishakubaliana na shetani mkuu, binafsi nikiona kuna mtu kaanzisha mada kuhusu kuwalalamikia hawa viumbe lazima nimsapoti tuespy umeicheka hii koment lkn kweli ninyi na shetani mna undugu kwa mbaali😄😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona huu uzi unaenda kubadirisha maisha yangu
Takers have no shameView attachment 2251318
Mwanaume kila siku anaifikiria familia, wanawake walio wengi mpaka kwenye ndoa wanakuwa wabinafsi ☝☝.