Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Mkuu umeoa ww
 
kuna MWAMBA kapambana kamsomesha mke kiugumu kauza asset zake mke asome. yule mke kamaliza shule kapata kazi nzuri kambwaga jamaa mazima. jamaa kabaki kapagawa haamini km ndo keshapigwa tukio hivyo
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£mm kuna mmoja aliniambia eti nimsaidie kulipa ada,yaani niache mambo yangu nilipie ada mwanamke,stupidity
,uje kuniacha.

Yani nisomeshe mke wa mtu
Wanachekeshaga hawa watu
 
Wewe ni mmoja kati ya wanawake elfu moja mkuu, Mungu akusimamie usije ukarubuniwa na shetani kwa mara ya pili kama hawa tuliokutana nao
 

Nmeumia sana!
Nmejikuta nawaza sana
Spana ziko humu ndani ni balaa tupu!
Hawa watu dah
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119] awiiiii
 
Mleta topic Yuko sahihi kabisa , watakao chukia na wachukie but huu ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…