Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

tatizo wamepokelewa vibaya hata wake zao wamewaowa wakaanza na ukatili hapo hapo usitegemee mwanamke atakuvumilia...

Tena kwa ulimwengu huu wa kisasa wa usawa lazima utumie busara zaidi kuliko ubabe.

Unawezaje kuwa mkatili kwa mtu anae kupikia chakula???
Mkuu umeoa ww
 
kuna MWAMBA kapambana kamsomesha mke kiugumu kauza asset zake mke asome. yule mke kamaliza shule kapata kazi nzuri kambwaga jamaa mazima. jamaa kabaki kapagawa haamini km ndo keshapigwa tukio hivyo
😂🤣😂🤣mm kuna mmoja aliniambia eti nimsaidie kulipa ada,yaani niache mambo yangu nilipie ada mwanamke,stupidity
,uje kuniacha.

Yani nisomeshe mke wa mtu
Wanachekeshaga hawa watu
 
Mimi katika maisha yangu sijawahi tegemea hela ya mwanaume. Sijui kuomba omba etc. Nitajibana na mshahara wangu nihakikishe natatua mambo yote ya msingi. Mwanamke unafanya kazi halafu unaomba hela ya kusuka etc. Mimi nina rafiki zangu wa 2 wa kiume ambao tunasaidiana tukiwa na shida. Hao hata kama sina hela mkononi nitakopa niwape sababu nikiwa na shida ya hela hata 2m anaweza kunikopesha na nikipata tu narudisha, hata wao wananikopa wanarudisha wakipata. Mimi nikiwa na mpenzi, siku nikimuambia nakuja weekend kwako, nanunua kila kitu naenda kupika tunakula na ku enjoy . Sikuombi hata mia yako. Kama mmojawapo ana shida tunasaidiana kiroho safi lakini sio kuombana hela ovyo. Tujifunze kuwa wapenzi wa faida sio wa kunyonyana.
Wewe ni mmoja kati ya wanawake elfu moja mkuu, Mungu akusimamie usije ukarubuniwa na shetani kwa mara ya pili kama hawa tuliokutana nao
 
Huu uzi umenikumbusha kisa changu na mwanamke mmoja hivi kati ya 2008 mpaka 2012.

Ni mwanamke wangu wa kwanza kwenye mahusiano, nililazimika kukaa nae geto kipindi hicho kwa sababu ya shida zake binafsi na nyumbani kwao. Alikuwa amefukuzwa kwao.

Kipindi hiko 2008 ndiyo na miezi kama 5 hivi tokea nipange na kujitegemea hata sikua nimefika mbali kiivile.ndio nilikua naanza maisha hapo hapo na mke juu, na alikua mwanamke wangu wa kwanza.

Nilikua na maisha magumu kwa kiasi kikubwa sana, yule binti aliumwa wa kulala kitandani kama mwaka na nusu hivi, maisha yangu na yule msichana yalikua magumu sana siku pata msaada popote pale iwe nje ama ndani, nilikomaa naye mpaka akapona na mimi nilirudi nyuma kiuchumi kwa kiasi kikubwa .

Ilibidi nimtafutie biashara eneo fulani lenye pilikapilika sana, haikupita miezi mitatu akaniambia amenivumilia sana anaona bora aondoke amepata bwana mwingine mimi ni maskini sana.

Alisahau mimi nilimvumilia mwaka na nusu wa kuugua kwake hata sex ilikuwa no.

Mwishowe akaondoka na vyombo ingawa nilinunua tukiwa nae lakini alibeba vyote akaondoka huku namungalia kwa machozi, kibaya zaidi huko aliko enda olewa na huyo bwana alikuja kumchukua mlangoni kwangu kabisaa.

Ingawa niliumia sana,nilirudi nyuma sana, lakini nilipoona yale maumivu.

Mwanamke huwa inapofika wakati wa kufanya lile linalo mfaa kwa wakati huo huwa haifikirii jana wala kesho, hana huruma hata kama wewe ni nani, hajali machozi ya mtu.

Kwa namna hio wanaume wengi kwa namna moja ama nyingine wameumizwa sana tena sio mara moja au mbili wala tatu, ndio maana kilio na malalamiko yamekua mengi mno.

Mwanamke ni mtu mzuri sana akiwa mama, na binti yako, akitoka hapo haki ya Mungu ishi nao kwa tahadhari sana.

Nmeumia sana!
Nmejikuta nawaza sana
Spana ziko humu ndani ni balaa tupu!
Hawa watu dah
 
Kuna mmoja ananisumbua mara baridi imezidi, nimemwambia nunua blanket, maana najua anataka hela tu, na njia rahisi ni mimi kujifanya nina nyenghe mshindo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] this time atashangaa maana last week alianza kulalamika hajalipwa mshahara
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119] awiiiii
 
Mkuu nimekuelewa vyema Sana bandiko lako.

Mwanamke ni mdudu hatari zaidi ya Nyoka.
Utajitoa kwake na mwisho wa siku atakudhuru.

Wanaume 90% tunapata matatizo ktk dunia hii sababu ya wanawake.
-jela.
-kutafuta pesa kwa nguvu/style yeyote.
--kurudi nyuma ktk maisha.
--kudhulumu nk.
Mleta topic Yuko sahihi kabisa , watakao chukia na wachukie but huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom