kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Moyo wa kikushi ndio upi huo?🤣🤣😂🤣😂Tunahitaji moyo wa ziada na akili pia
Moyo uwe wa kikushi na akili ya kikatili sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo wa kikushi ndio upi huo?🤣🤣😂🤣😂Tunahitaji moyo wa ziada na akili pia
Moyo uwe wa kikushi na akili ya kikatili sana
Asante mkuu. Naamini katika kusaidiana. Friends with benefits.Hongereni sana ndugu yangu.
Hio familia yenu ni bora na itabarikiwa sana.
Nimependa sana mtazamo wako juu wanawake baadhi yao.
Mkuu umeoa wwtatizo wamepokelewa vibaya hata wake zao wamewaowa wakaanza na ukatili hapo hapo usitegemee mwanamke atakuvumilia...
Tena kwa ulimwengu huu wa kisasa wa usawa lazima utumie busara zaidi kuliko ubabe.
Unawezaje kuwa mkatili kwa mtu anae kupikia chakula???
😂🤣😂🤣mm kuna mmoja aliniambia eti nimsaidie kulipa ada,yaani niache mambo yangu nilipie ada mwanamke,stupiditykuna MWAMBA kapambana kamsomesha mke kiugumu kauza asset zake mke asome. yule mke kamaliza shule kapata kazi nzuri kambwaga jamaa mazima. jamaa kabaki kapagawa haamini km ndo keshapigwa tukio hivyo
Tumelielewa mkuuBandiko limeeleweka kabisa, mwenye masikio na asikie
Wewe ni mmoja kati ya wanawake elfu moja mkuu, Mungu akusimamie usije ukarubuniwa na shetani kwa mara ya pili kama hawa tuliokutana naoMimi katika maisha yangu sijawahi tegemea hela ya mwanaume. Sijui kuomba omba etc. Nitajibana na mshahara wangu nihakikishe natatua mambo yote ya msingi. Mwanamke unafanya kazi halafu unaomba hela ya kusuka etc. Mimi nina rafiki zangu wa 2 wa kiume ambao tunasaidiana tukiwa na shida. Hao hata kama sina hela mkononi nitakopa niwape sababu nikiwa na shida ya hela hata 2m anaweza kunikopesha na nikipata tu narudisha, hata wao wananikopa wanarudisha wakipata. Mimi nikiwa na mpenzi, siku nikimuambia nakuja weekend kwako, nanunua kila kitu naenda kupika tunakula na ku enjoy . Sikuombi hata mia yako. Kama mmojawapo ana shida tunasaidiana kiroho safi lakini sio kuombana hela ovyo. Tujifunze kuwa wapenzi wa faida sio wa kunyonyana.
Mkuu spana unazopiga nakufuatilia kwa karibu.
Siwezi kubadilika.Wewe ni mmoja kati ya wanawake elfu moja mkuu, Mungu akusimamie usije ukarubuniwa na shetani kwa mara ya pili kama hawa tuliokutana nao
Itakuwa alipatwa na kitu kizito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la haya mambo hata ujifanye kauzu vipi bado tu hutaweza kuishi mwenyewe.View attachment 2249408View attachment 2249409View attachment 2249411
Kweli kabisa yani wadada sijui ujasiri wa kuombana hela wanautoa wapiHalafu hao wa kuita kaka ndio wabaya zaidi,anakuita kaka kukuchanganya. Mi huwa nawaambia sio kaka yako
Huu uzi umenikumbusha kisa changu na mwanamke mmoja hivi kati ya 2008 mpaka 2012.
Ni mwanamke wangu wa kwanza kwenye mahusiano, nililazimika kukaa nae geto kipindi hicho kwa sababu ya shida zake binafsi na nyumbani kwao. Alikuwa amefukuzwa kwao.
Kipindi hiko 2008 ndiyo na miezi kama 5 hivi tokea nipange na kujitegemea hata sikua nimefika mbali kiivile.ndio nilikua naanza maisha hapo hapo na mke juu, na alikua mwanamke wangu wa kwanza.
Nilikua na maisha magumu kwa kiasi kikubwa sana, yule binti aliumwa wa kulala kitandani kama mwaka na nusu hivi, maisha yangu na yule msichana yalikua magumu sana siku pata msaada popote pale iwe nje ama ndani, nilikomaa naye mpaka akapona na mimi nilirudi nyuma kiuchumi kwa kiasi kikubwa .
Ilibidi nimtafutie biashara eneo fulani lenye pilikapilika sana, haikupita miezi mitatu akaniambia amenivumilia sana anaona bora aondoke amepata bwana mwingine mimi ni maskini sana.
Alisahau mimi nilimvumilia mwaka na nusu wa kuugua kwake hata sex ilikuwa no.
Mwishowe akaondoka na vyombo ingawa nilinunua tukiwa nae lakini alibeba vyote akaondoka huku namungalia kwa machozi, kibaya zaidi huko aliko enda olewa na huyo bwana alikuja kumchukua mlangoni kwangu kabisaa.
Ingawa niliumia sana,nilirudi nyuma sana, lakini nilipoona yale maumivu.
Mwanamke huwa inapofika wakati wa kufanya lile linalo mfaa kwa wakati huo huwa haifikirii jana wala kesho, hana huruma hata kama wewe ni nani, hajali machozi ya mtu.
Kwa namna hio wanaume wengi kwa namna moja ama nyingine wameumizwa sana tena sio mara moja au mbili wala tatu, ndio maana kilio na malalamiko yamekua mengi mno.
Mwanamke ni mtu mzuri sana akiwa mama, na binti yako, akitoka hapo haki ya Mungu ishi nao kwa tahadhari sana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] zi3 mpaka huku anaupiga mwingiNagongelea msumari kukazia..Toa neno mpenzi kisha weka mwanamkeView attachment 2249303
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119] awiiiiiKuna mmoja ananisumbua mara baridi imezidi, nimemwambia nunua blanket, maana najua anataka hela tu, na njia rahisi ni mimi kujifanya nina nyenghe mshindo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] this time atashangaa maana last week alianza kulalamika hajalipwa mshahara
Mleta topic Yuko sahihi kabisa , watakao chukia na wachukie but huu ndio ukweliMkuu nimekuelewa vyema Sana bandiko lako.
Mwanamke ni mdudu hatari zaidi ya Nyoka.
Utajitoa kwake na mwisho wa siku atakudhuru.
Wanaume 90% tunapata matatizo ktk dunia hii sababu ya wanawake.
-jela.
-kutafuta pesa kwa nguvu/style yeyote.
--kurudi nyuma ktk maisha.
--kudhulumu nk.
For sureNa kinacho tuponza wanaume ni huruma yetu.