Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Well said, [emoji419][emoji419]
 
Hawana shukrani kuna manzi nilikuwa namla juzi tu hapa akataka nimununulie PC nilivyomwambia sina hela hajawai kunijibu tena Meseji zangu wakati nyuma amekula sana hela zangu hawa viumbe bhana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119] huu Uzi unani bariki sana
 
Manaume yale yako twisted, yamejazana humu kwenye hii topic, stop treating women like shit, wapuuzi tu nyie
[emoji16][emoji16][emoji16] pokeeni tu ukweli ijapokuwa inauma .
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Ushawahi kuumizwa na mwanamke, lazima uone mawenge, ...pole we!, sipingi experiences zenu zimeashape mlivyo, nachopinga ni nyinyi kutaka kuwainfluence wengine especially vijana wa kiume humu wadogo humu kuwa wanawake ni watu wabinafsi.
Wanaambiwa ukweli mchungu ambao lazima narudia lazima wakutane nao,
Wapende watakutana nao , wachukie watakutana nao,
wasiamini watakutana nao na wakiamini watakutana nao.

Hivyo hapa wanaandaliwa maono, wajue jembe linakuja kuwafyeka na litawafyeka kweli.

Ila muhimu unatakiwa upitie steji hii kabla mtu mwanamume hajaoa
 
Kibao tu mkuu,lol, wanaonijua watakuambia sio mchoyo mimi, nina makando kando yangu ila uchoyo sina,lol
Inaweza kuwa wewe sio mchoyo .. hongera Kwa Hilo but wanawake wengi sana ni wabinafsi na hiyo ndio sifa kuu ya gender ya kike ... Ukiona mwanamke sio mbinafsi basi huyo amekomboka tu Kwa uwezo wa roho mtakatifu ni 10 Kwa 1., So kama wewe sio mbinafsi hongera , but wanawake wengi wenzenu ndio wanao watia doa cuz wingi wao wa Tabia za ubinafsi una sababisha nyie wengine wachache ambao ni wema msitambulike kuwa mpo
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
We jamaa unapiga panapouma
Jamaa ana Logic consistent Ile mbaya .. nili miss mijadala mizito kama hii Huwa inaongeza upana wa fikira ... Here we goo [emoji16][emoji16]
 
Si ulimkulaa lakini???
 
Umeshaona ile eti mnafanya ofisi moja,mnakuwa na assignment zinazofanana kwa kiwango sawa,inatokea wewe unawahi kumaliza anakwambia naomba unisaidie yani nimechoka,utafikiri kwenye mshahara na yeye atakupunguzia kidogo...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aisee uko na logic sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…