Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

umeongea kwa hasira sana mkuu

Mbal na hasira kaongea kwa uharisia na picha kamili
Hajadanganya kitu Hata kimoja
Inahitaji utulie,uchambue,uhusianishe na maisha kiujumla utamuelewa vizuri

Ni ngumu kujua mtu anawaza nini
Ukisoma visa vya humu utapata picha kamili ya mtoa mada

Leo hi ukimtongoza mdada yoyote ila sio wote japo wengi wao
hana muda na kujua mawazo yako,malengo na mipango yako
Atataka tu kujua una nini(muda huo) unajua Kwann?
Kwasababu fikra yake ni kua navyo ulivyonavyo!
Hapa nilipo ni wilayani
Kuna young boy anamali nyingi sana
Workshop moja ya maana na vitega uchumi vingi
Nyumba za kupangisha kama 4 +gest house
Ila amepanga nyumba moja na mimi
Analipia kodi vyumba viwili!
Hapo workshop back side kuna rooms kari sana kazi tengenezea zipo tu
Nkawa najiuliza kwanin asikae huko na mke wake mpya

Kuna siku tukiwa alone akanisumulia majanga yake
The same ni wanawake hawahawa!
Nanukuu kauli yake β€œkelphin sijui sikua nnampa nini yule....
Alikua anapewa kila anachokitaka
Nikisema alikua halidhishwi kitandan sipati majibu sababu sikuwahi kumwaga kabla yeye hajasema ameridhika”
Ila bado alikua anachukua fedha na kumpa kijana mwingine!

Ndipo nlijua kumbee!

Tuishi nao kwa akili ila nadhan bible iliwalenga wale mama zetu
Hawa wa sahiv nadhan bible itupe tu kauli nyingine [emoji16]
 
Suala la ubinafsi wa mwanamke ni suala mtambuka Lina zunguka maisha Yao in general halija base katka Pesa tu .. Kuna mtu hapo katolea mfano jinsi baadhi ya wanawake wanavyo taka kusaidiwa kazi maofisini na wanaume huku wao wakiwa hawana majukumu mengine yoyote yale ya kufanya ,

Hawaoni kuwa Wana mchosha yule wanaye muomba awafanyie hiyo (me )
Imagine mwanaume afanye kazi zake halafu afanye na kazi za hao wanawake wakati mshahara wao ni 1 na hata wakipokea hawapi chochote
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapo wake zetu tuliofunga nao ndo unaojaribu kuwatetea ndio wanakuwa na surprise sio za ulimwengu huu. Wanawake wote sawa tu haijalishi Ni mke, rafiki au mpenzi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Nimeshawahi kusaidiwa na Mwanamke mtu mzima ambaye, hakuwa mwanamke wangu wala ndugu yangu!

Mpaka leo namwita Dada mkubwa.

NB:
Mwanamke aliyewahi kunisaidia ni Mtu mzima, sio Binti au Msichana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119] NB
 
Mkuu ubarikiwe sana aisee,, umepiga mule mule yaani
 
[emoji16][emoji16][emoji16] ukiishi peke Yako unakuwa unaishi Kwa usalama na amani kubwa Sana kuliko kuishi na wanawake,
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Woman is a second god mistake

Via

Friedrich Nietzsche
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Safi kabisa
 
Haka kaugonjwa kameshamiri mno...Leo tu minyege imenishika nikasema NGoja nikasituwe kademu nilikaona kastaarabu kaje tufanyane ebwana muda huohuo kakanipa invoice ya saloon nimekazungusha Huku nikikazungusha na kukapaa ahadi za kesho mzigo utapatikana...

To cut the story short nimelala na nyege zangu...

Ila kupenda sijui mshipa ulishakatika au ni Kwa kuwa dada zetu hawapendeki au wao wanatafuta financial support . Hata Sijui wa humu nilishashindwa kuwaelewa Hasa wa lile jukwa la love connect uongo mtupu lile jukwaa lingefungwa halina uhalisia wowote.

Mpende Mwanao na Mama Yako Tu ...sijui mke sijui girlfriend achana na hizo mambo....
 
Mbona umekata tamaa mkuu
 
Real talk. Hata kwenye bible imeandikwa tuishi nao kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…