Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Rudi shule..
 
Mm kuna duu kanitafuta last week eti nilimpaga lift miaka mitano iliyopita,yaani narecall cpat picha,sasa tukataftana ile kumuona hakunivutia kiviiile ,na hata simkumbuki na sikumtia wala nn,kwanza mfuuupi.
Jana asubui ananiambia ana 2 days kaishiwa gesi,hee na wakati wife angu ana almost mwezi now anapikia mkaa...yaani nikamblok hapo hapo
 
[emoji28]
 
hehehe. Utapigwa mkuu
 
Hii list uliyotaja huwezi kuifikia hata siku moja kama wewe ni Mpenda chini au unanifanya unajali sana wanawake. You need Strong heart.

Conguratulations.

Hizi buku teni teni tunazopigwa hapa na pale huwa tunazudharau lakini ni pesa nyingi.

Kijana anayetafuta maisha kipato chake elfu 15 kwa siku ana sota sana. Lakini mwisho wa mwezi au wa wiki anahonga 50 au 1000. Hii ni zaidi ya 30% ya kipato chake. Akitoa na gharama za maisha habaki na kitu mfukoni. Siku zinaanza tena, wiki hadi mwaka hana kitu cha maana.
 
Kwani kumuhonga mwanamke ni sheria na kwanini nimpe kama anauza fresh nitanunua
 
Kwani kumuhonga mwanamke ni sheria na kwanini nimpe kama anauza fresh nitanunua

sio sheria ila ukiwa mchoyo mchoyo hata nyumbani kwako utakua mchoyo tu, na watoto wako wa kike utawaona mzigo! maana ushazoea kutoa ili upate something in return, (mbunye).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…