Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

umeandika ukweli mtupu . wanawake sio watu aisee .. nimewahi kuwa kwenye mahusiano na binti flani nilimpenda na kumuhudumia mpaka kumlipia kodi

ila alichonifanyia! aligongewa humo humo ndani kwenye chumba nacholipa kodi mimi [emoji24] tangu siku hiyo I'm cold hearted

But we move !!

[emoji1316]
 
Mkuu ni kweli ukitenda wema kwa kijana wa kiume daima atakumbuka ila wakike aise hatua mbili kasahau. Viumbe wa ajabu sana
Duhh inategemea mbon mi muhuni ametembeza M1.5mwaka 2016 na nishakutana na kuazima pesa na nisirudishiwe mara nyingi tu.. kweli hakuna binadamu anaweza kurudisha ulicho msaidia wadada wameshanivunja moyo mpka ini ila siwachukii wote nikimkuta amekwama nampiga Jeki mana kusaidia ndio furaha yangu...kila mtu anamtazamo wake mleta mada amekuja na wakwake ye amesema hata akute anakufa hamsaiidii hii hatua amefikia ni mbaya sana...
 
Hahahaa nikaishia kucheka hapa nilipo, mkuu pole sana! Imebidi nikuonee huruma. Pole ila naamin Mungu ni mwema utakuwa sawa

Wanaume sio watu wa huruma acha uongo, sema umekosa la kuongea, ni kweli hunifikii..chukua time huko!
 
Duhh inategemea mbon mi muhuni ametembeza M1.5mwaka 2016 na nishakutana na kuazima pesa na nisirudishiwe mara nyingi tu.. kweli hakuna binadamu anaweza kurudisha ulicho msaidia wadada wameshanivunja moyo mpka ini ila siwachukii wote nikimkuta amekwama nampiga Jeki mana kusaidia ndio furaha yangu...kila mtu anamtazamo wake mleta mada amekuja na wakwake ye amesema hata akute anakufa hamsaiidii hii hatua amefikia ni mbaya sana...
Mwanaume hautakiwi kuwa na huruma hasa na ke. Mkuu nikukumbushe tu hawa watu walizungumza uso kwa uso na shetani na wakakubaliana terms na shetani imagine.

Kilichompoza Adam ni huruma yake kwa Eva angekua bandidu kama The unpaid Seller angekua Eden mpaka leo na Eva angekua anasuguliwa mbuye na shetani hapa duniani.
 
Huyu mwanamke naapa lazimaa atakua single mother wa watoto sio pungufu ya 3 kwa baba tofauti, (hakunaga mwanaume wa kuoa jinga kama hilo) anauadui na anajadili kwa hasira sana. Na kuzalishwa na kutemwa anaona kaonewa ili hali ni matokeo ya ujuaji wake.

Wanamake kama hawa akiwa jirani yangu nauza hiyo nyumba at half the price nahama huo mkoa, unaweza kupiga hiyo mbwa risasi bure.

Single mothers ni watu mpuuzi wewe, kwa taarifa yako ni people like you mnao treat wanawake like shit, ndio mnaaongeza ma single mothers....kila mwanaume angekua responsible..hakuna single mother ndani ya jamii....au unadhania hizo mimba wanapewa wanawake na mijusi na sio wanaume...?

Unasema najadili kwa hasira, unayesema humsaidii mwanamke hata ukute anakufa , mimi na wewe nani ana hasira hapo? au unadhania hatusomi tone yako kwenye uzi huu kuwa una hasira??????

Mwisho hunijui, andika upuuzi wako as much as you want....
 
na hapa ninapo soma kuna jamaa amenipiga jiwe nne yani kweli wanawake ni wabaya ila ubaya wao hauwafanyi wanaume wawe wema.
 
Duhh inategemea mbon mi muhuni ametembeza M1.5mwaka 2016 na nishakutana na kuazima pesa na nisirudishiwe mara nyingi tu.. kweli hakuna binadamu anaweza kurudisha ulicho msaidia wadada wameshanivunja moyo mpka ini ila siwachukii wote nikimkuta amekwama nampiga Jeki mana kusaidia ndio furaha yangu...kila mtu anamtazamo wake mleta mada amekuja na wakwake ye amesema hata akute anakufa hamsaiidii hii hatua amefikia ni mbaya sana...
Duhh inategemea mbon mi muhuni ametembeza M1.5mwaka 2016 na nishakutana na kuazima pesa na nisirudishiwe mara nyingi tu.. kweli hakuna binadamu anaweza kurudisha ulicho msaidia wadada wameshanivunja moyo mpka ini ila siwachukii wote nikimkuta amekwama nampiga Jeki mana kusaidia ndio furaha yangu...kila mtu anamtazamo wake mleta mada amekuja na wakwake ye amesema hata akute anakufa hamsaiidii hii hatua amefikia ni mbaya sana...
Kuna siku utalia na sitakuwepo kukukumbusha maneno yangu. Mwanaume hautakiwi kuwa na huruma hasa na ke. Mkuu nikukumbushe tu hawa watu walizungumza uso kwa uso na shetani na wakakubaliana terms na shetani imagine.

Kilichompoza Adam ni huruma yake kwa Eva angekua bandidu kama The unpaid Seller angekua Eden mpaka leo na Eva angekua anasuguliwa mbuye na shetani hapa duniani.
 
Hahaa umemutekenya puani ngoja atoke huko kwenye ki-saloon alikoajiriwa (kufadhiliwa ajishikize kulisha hao watoto zake) ashike simu uone atajavyokunyea fifi zake
hahahaha hivi mnadhania mtani bully??? poleni nyie.... nitaandika as much as i want in this forum, and you cant do shit to me..lol
 
Kuna siku utalia na sitakuwepo kukukumbusha maneno yangu. Mwanaume hautakiwi kuwa na huruma hasa na ke. Mkuu nikukumbushe tu hawa watu walizungumza uso kwa uso na shetani na wakakubaliana terms na shetani imagine.

Kilichompoza Adam ni huruma yake kwa Eva angekua bandidu kama The unpaid Seller angekua Eden mpaka leo na Eva angekua anasuguliwa mbuye na shetani hapa duniani.
mkuu unafikiri nilipo pigwa 1.5 na msela sikulia nililia sababu nilikuwa nina miaka 19 mkuu sisemi utani hapa jamaangu ambae amenizidi vitu vingi amenitapeli jiwe nne na yupo nampgia simu anasema unafikiri ninayopesa alafu sitaki kukupa..
 
1. Wanaume tunapendana

2. Hatutaki na wao yawakute yaliyotukuta sisi maana vijana wa sasa wapo laini laini ni wepesi kuchukua maamuzi magumu, kujiua au kuua

Hivyo tunatoa tahadhari ili kuepusha maafa
Eti maafa yapi hayo??? embu yataje???

Yaani muwa influence vijana wa kiume kuwa wanawake ni wabinafsi kisa tu mna experiences mbaya na wanawake mmeumizwa, halafu sisi tuwaangalie tu??? no way, hata sisi wanawake tunapendana sana tu..hatutakubali nyie mliioumizwa mjenge negative image kuhusu sisi!
 
mkuu unafikiri nilipo pigwa 1.5 na msela sikulia nililia sababu nilikuwa nina miaka 19 mkuu sisemi utani hapa jamaangu ambae amenizidi vitu vingi amenitapeli jiwe nne na yupo nampgia simu anasema unafikiri ninayopesa alafu sitaki kukupa..

Kwanza wanaume hawana huruma, anaweza akala hela yako na arrogantly asikupe...
 
Back
Top Bottom