kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
umeandika ukweli mtupu . wanawake sio watu aisee .. nimewahi kuwa kwenye mahusiano na binti flani nilimpenda na kumuhudumia mpaka kumlipia kodi
ila alichonifanyia! aligongewa humo humo ndani kwenye chumba nacholipa kodi mimi [emoji24] tangu siku hiyo I'm cold hearted
But we move !!
[emoji1316]