Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

Hongera kua kati ya 1% japo jambo moja dhahiri. YOU ARE STILL A TAKER. Nyoka hazai kifaranga wala mtende hautoi karanga. Deep down you are a taker hata kama unajizuia (japo hongera kwa kujitahidi kudhibiti ubinafsi lakini hauwezi kwenda against nature)

Na hata kama hauombi hela kwa sana (kuna sehemu umekiri kuomba hela kwa watu ndugu) ila unaomba favours endlessly huko kazini nisaidie hiki nisaidie kile, huko chuo umefanyiwa sana assignments and you walked away unthankful (japo hauta admtit) takers are takers ila in all hongera kwa kudhibit udhaifu ulio ndani yako mkuu
Am not a taker coz sijawai kusaidiwa chuo nimepambana mwenyewe Ni Mungu ndie msaidizi pekee,natukijua Hilo wanawake tukainui macho juu na kupiga magoti na kuomba kwa bidii kizazi hiki Ni shida.Mungu atusaidie sote.
 
Siyo kimachale machale.

Mungu kusema ishini na wanawake Kwa akili,unafikiri ni mchezo????

Hiyo kimachale machale ndo akili yenyewe.Hupaswi kwenda mzimamzima.

Au Mungu kusema ishini na wanawake Kwa akili alikosea?? Na yeye pia hana akili ,ana matatizo.

Kuna kitu aliona.Siyo mchezo mkuu.

Udhaifu ndo unafanya hayo mapepo na majini yawaingie na siyo jinsia za majini.Shida Yako ni kujifananisha na mwanaume.Hiyo battle mwanaume ni winner achana nayo.
Ungenielewa usingeandika huu upuuzi,

Ukae na mwanamke kiakili ndio ukae kimachale chale?! Mungu akupe hekima ya kutafsiri maandiko yake vizuri..hujui usemalo!

Eti kuna kitu alikiona, wewe kama una akili kiseme hapa wazi!

Udhaifu, wanaume sio dhaifu???, kwanza nyie mlioumizwa ndio dhaifu,au mmefanywa dhaifu, sasa mngekua strong nani angewafanya dhaifu????

Sijifananishi na mwanaume, unanikosea bure, eti mwanaume ni winner..hahahh jinsi ninavokusoma wewe ni wale wale..mnao 'fit' kwenye profile la mtoa mada, hamuoni mwanamke ni mwanadamu kama wewe, anayepaswa kujaliwa,kusikilizwa, na kukubaliwa kwenye mambo mengine, ila ni zimwi linalotakiwa kuwa, ignored hisia zake,linalotakiwa lisijaliwe , wala kusikilizwa... yaani i can sense trouble kwenye hio ndoa yako inayokuja.
 
Wapendwa hamjambo nimesoma comments za watu kwa kweli inasikitisha sana.mimi ni mwanamke mpaka nimefika umri huu sijui kuomba pesa kwa BF nikiwa ba shida Sana ndugu wapo nakimbilia huko pili nafanya kazi kwa Nini nimtegemee mtu naishi within my budget.kama tunatoka out tunakubaliana ni pesa ngapi tuna spend then tuna changa tuna enjoy.HEKIMA,BUSARA , MAARIFA hakuna katika jamii.UPENDO hakuna.SIO WANAWAKE WOTE AND AM PROUD TO BE A WOMAN.
Akili yako imetulia sana,ulichokiandika kina akisi jinsi ulivyo...
 
i like you mkuu, you will make a perfect husband,lol, ukitaka kuolewa, angalia mwanaume mwenye ushusiano mzuri na mama yake!, au at least anaye appreciate mchango wa mama yake katika maisha yake!....na kuheshimu wanawake...kwa kweli umeoa? kama bado..kama kuna mdada humu yuko available huyu kaka sasa ndio type ya 'husband material' ..lol... [emoji1787] [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Huwa mnapenda mwanaume dhaifu kwenye ndoa kusudi mumuendeshe.

Ndo maana mpaka wanawake wengine wanatafuta mbadala.( Limbwata)
 
We jamaa naona unaseti mipango ya kumpiga tukio single mother wa uzi wetu, hongera najua unatumia mbinu za kijasusi kujifanya uko upande ule, ila kua makini usije pigwa tukio wewe.
hahahahaha no one is going to bully my mind or my body, huyo Mkuu prumpeti ni mwanaume na nusu! its okay i can understand your jealousy...
 
Nani kasema anatoa pesa apate sex MBONA MNATUMIA NGUVU NYINGI KUTWIST MADA ?! Imejadiliwa mwanamke atalia shida ukimtumia hata shukrani hakuna ni kimya next text atatuma ni ameishiwa gesi au kodi imeisha je hili ni sawa kwa kiasi gani ?!
Sio sawa coz kila mtu ana ufahamu wake Ni kweli hatujui kushukuru wala kujishusha tuwaombee Mungu awabadilishe hakuna jinsi,mbona Mimi nimesaidia (me) Tena pesa nyingi lakini akaenda kuoa mwingine siwezi kuwachukia wote hapana kila mtu anatabia yake naomba uwe TU mpole na kuwasamehe.
 
Huwa mnapenda mwanaume dhaifu kwenye ndoa kusudi mumuendeshe.

Ndo maana mpaka wanawake wengine wanatafuta mbadala.( Limbwata)
Yaani mwanaume anayeheshimu wanawake ni mwanaume dhaifu??? hujielewi....

Limbwata, rejea post yangu pale juu,bila influence yenu wanaume sisi wanawake sio mazimwi, wewe nani akupe limbwata kama utatulia na mkeo huko?
 
Huu uzi umenikumbusha kisa changu na mwanamke mmoja hivi kati ya 2008 mpaka 2012.

Ni mwanamke wangu wa kwanza kwenye mahusiano, nililazimika kukaa nae geto kipindi hicho kwa sababu ya shida zake binafsi na nyumbani kwao. Alikuwa amefukuzwa kwao.

Kipindi hiko 2008 ndiyo na miezi kama 5 hivi tokea nipange na kujitegemea hata sikua nimefika mbali kiivile.ndio nilikua naanza maisha hapo hapo na mke juu, na alikua mwanamke wangu wa kwanza.

Nilikua na maisha magumu kwa kiasi kikubwa sana, yule binti aliumwa wa kulala kitandani kama mwaka na nusu hivi, maisha yangu na yule msichana yalikua magumu sana siku pata msaada popote pale iwe nje ama ndani, nilikomaa naye mpaka akapona na mimi nilirudi nyuma kiuchumi kwa kiasi kikubwa .

Ilibidi nimtafutie biashara eneo fulani lenye pilikapilika sana, haikupita miezi mitatu akaniambia amenivumilia sana anaona bora aondoke amepata bwana mwingine mimi ni maskini sana.

Alisahau mimi nilimvumilia mwaka na nusu wa kuugua kwake hata sex ilikuwa no.

Mwishowe akaondoka na vyombo ingawa nilinunua tukiwa nae lakini alibeba vyote akaondoka huku namungalia kwa machozi, kibaya zaidi huko aliko enda olewa na huyo bwana alikuja kumchukua mlangoni kwangu kabisaa.

Ingawa niliumia sana,nilirudi nyuma sana, lakini nilipoona yale maumivu.

Mwanamke huwa inapofika wakati wa kufanya lile linalo mfaa kwa wakati huo huwa haifikirii jana wala kesho, hana huruma hata kama wewe ni nani, hajali machozi ya mtu.

Kwa namna hio wanaume wengi kwa namna moja ama nyingine wameumizwa sana tena sio mara moja au mbili wala tatu, ndio maana kilio na malalamiko yamekua mengi mno.

Mwanamke ni mtu mzuri sana akiwa mama, na binti yako, akitoka hapo haki ya Mungu ishi nao kwa tahadhari sana.
 
Ungenielewa usingeandika huu upuuzi,

Ukae na mwanamke kiakili ndio ukae kimachale chale?! Mungu akupe hekima ya kutafsiri maandiko yake vizuri..hujui usemalo!

Eti kuna kitu alikiona, wewe kama una akili kiseme hapa wazi!

Udhaifu, wanaume sio dhaifu???, kwanza nyie mlioumizwa ndio dhaifu,au mmefanywa dhaifu, sasa mngekua strong nani angewafanya dhaifu????

Sijifananishi na mwanaume, unanikosea bure, eti mwanaume ni winner..hahahh jinsi ninavokusoma wewe ni wale wale..mnao 'fit' kwenye profile la mtoa mada, hamuoni mwanamke ni mwanadamu kama wewe, anayepaswa kujaliwa,kusikilizwa, na kukubaliwa kwenye mambo mengine, ila ni zimwi linalotakiwa kuwa, ignored hisia zake,linalotakiwa lisijaliwe , wala kusikilizwa... yaani i can sense trouble kwenye hio ndoa yako inayokuja.
Amen.
 
Mkuu nimekuelewa vyema Sana bandiko lako.

Mwanamke ni mdudu hatari zaidi ya Nyoka.
Utajitoa kwake na mwisho wa siku atakudhuru.

Wanaume 90% tunapata matatizo ktk dunia hii sababu ya wanawake.
-jela.
-kutafuta pesa kwa nguvu/style yeyote.
--kurudi nyuma ktk maisha.
--kudhulumu nk.
Mbaya zaidi mambo yako yakirudi nyuma, mwanamke huyohuyo atakudharau na kukwambia ameendekeza umalaya na kujifanya una roho nzuri kutaka kusaidia kila mtu
 
Sio sawa coz kila mtu ana ufahamu wake Ni kweli hatujui kushukuru wala kujishusha tuwaombee Mungu awabadilishe hakuna jinsi,mbona Mimi nimesaidia (me) Tena pesa nyingi lakini akaenda kuoa mwingine siwezi kuwachukia wote hapana kila mtu anatabia yake naomba uwe TU mpole na kuwasamehe.

eti kweli hatujui kushukuru... onyesha sisi hatujui kushukuru..

unasema huwezi kuchukia wanaume wote, japokua umeumizwa, in other words unasema ni vibaya ku generalize, at the same time unageneralize sisi wanawake ni viumbe tusiojua kushukuru??? dada uko single nini? 😳😳😳😡
 
Huwa mnapenda mwanaume dhaifu kwenye ndoa kusudi mumuendeshe.

Ndo maana mpaka wanawake wengine wanatafuta mbadala.( Limbwata)
kuwa rude sio kwamba ndo umwanaume kujiamini inatosha mtu anakuendeshaje na wewe una kichwa chako...

kwani hujiamini kwamba we ni mwanaume mpka uwe katili?
 
Yaani mwanaume anayeheshimu wanawake ni mwanaume dhaifu??? hujielewi....

Limbwata, rejea post yangu pale juu,bila influence yenu wanaume sisi wanawake sio mazimwi, wewe nani akupe limbwata kama utatulia na mkeo huko?
Mwanamke anapenda mwanaume atakaye mpelekesha. Mwanamke akiona ka feli.Ndo hapo limbwata linapo pikwa au kutafutwa.

Mwanaume kupelekeshwa na mwanamke hiyo siyo heshima.
 
Kuna siku utalia na sitakuwepo kukukumbusha maneno yangu. Mwanaume hautakiwi kuwa na huruma hasa na ke. Mkuu nikukumbushe tu hawa watu walizungumza uso kwa uso na shetani na wakakubaliana terms na shetani imagine.

Kilichompoza Adam ni huruma yake kwa Eva angekua bandidu kama The unpaid Seller angekua Eden mpaka leo na Eva angekua anasuguliwa mbuye na shetani hapa duniani.
Hatujui waliongea nini pale EDENI na shetani maana mengi ni siri yao, kumwonea huruma mwanamke ni sawa na kumwonea huruma shetani
 
kuwa rude sio kwamba ndo umwanaume kujiamini inatosha mtu anakuendeshaje na wewe una kichwa chako...

kwani hujiamini kwamba we ni mwanaume mpka uwe katili?
Siyo kuwa katili Wala mbabe.

Nature ya mwanaume ni kiongozi.

Nenda kaoe ushuhudie mwenyewe.

Yani mwanamke anachukua majukumu ya mwanaume.Kawaida na ndivyo Wanavyo penda.mwanaume ukisema "NO" hapo ndo utaonekana mkatili na mbabe kitu ambacho hawakipendi
 
Mwanamke anapenda mwanaume atakaye mpelekesha. Mwanamke akiona ka feli.Ndo hapo limbwata linapo pikwa au kutafutwa.

Mwanaume kupelekeshwa na mwanamke hiyo siyo heshima.
Eti mwanamke anapenda mwanaume atakayempelekesha??? wewe mama yako alimpelekesha baba yako kwani??...

je alikua successful kumpelekesha? au na yeye alitumia limbwata (kama lipo)????,

Mwanaume anapelekeshwaje na mwanamke...???? 😳 how old are you mkuu???
 
Back
Top Bottom