Tundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali ajiandae. Farhia akala kona kwa kuhofia majibu magumu ambayo Tundu Lissu angeyatoa.