Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

eti ndio mpinzani huyo🤣

unatahadharisha kusema ukweli? surely?

muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...

sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Wewe kweli ni pimbi,kwamba Lissu ni muoga.Tuje kwenye hoja mezani,hapo muoga ni nani kati ya Lissu na Farhia?
 
Alimtahadhalisha muuliza maswali.
Yeye kuwekwa ndani na kuwa na makes ya ajabu ajabu kazoea.
Je kwa binti kama yule anaweza misukosuko.
Jibu la mtangazaji lingekuwa 'nimejiandaa' ili yeye ashushe nyavu.
actually kwa mpinzani kusita au kutest ujasiri wa mtu kuupokea ukweli ni udhaifu mkubwa mno,

kuna watu wamerudi nyuma na kua na mashaka na uthubutu na uwezo wa huyo muungwana kuhusu rushwa, inaonekana kwake rushwa ni negotiable haina shida japo anaweza tu kulalamikia bila kujulikana anamlalamikia nani 🐒
 
Nafikiri unapokuwa mwandishi wa habari hautakiwi kuwa muoga.
 
Mbona alishatamka mara kadhaa "Abduli Mtoto wa Mama" na kama ni "kuropoka" kwanini WASIKANUSHE?!
Alipohojiwa na Odemba alisema kabisa kuwa mtoto wa Rais.
Sasa sijui watu wanajitoa ufahamu.
Alielezea kuhusu barua aliyoiandika na akamwambia mama yako nilishamtumia lakini mpaka sasa hakuna jibu.
 
actually kwa mpinzani kusita au kutest ujasiri wa mtu kuupokea ukweli ni udhaifu mkubwa mno,

kuna watu wamerudi nyuma na kua na mashaka na uthubutu na uwezo wa huyo muungwana kuhusu rushwa, inaonekana kwake rushwa ni negotiable haina shida japo anaweza tu kulalamikia bila kujulikana anamlalamikia nani 🐒
Mwenye mamlaka ya kushtaki katika kesi za jinai ni Jamuhuri, yeye kalalamika ni jukumu la Jamuhuri kuchukua hatua!
 
"Abduli Mtoto wa Mama" inamaanisha nini?
Kweye kipindi medani za siasa alimsema mtoto wa Raisi samia. Alisema baada ya yeye Abduli kusema mama analalamika kuwa Lissu hajamuandikia barua ya madai yake
 
Mwenye mamlaka ya kushtaki katika kesi za jinai ni Jamuhuri, yeye kalalamika ni jukumu la Jamuhuri kuchukua hatua!
unalalamikia nini na unamlalamikia nani wap 🤣

uoga ni umaskini wa kiwango cha juu sana aise..
 
unalalamikia nini na unamlalamikia nani wap 🤣

uoga ni umaskini wa kiwango cha juu sana aise..
Inawezekana wewe siyo raia wa nchi hii! Kwa mujibu wa sheria za nchi hii ukimfumania njemba na mke wako unatakiwa kwenda kulalamikia Jamuhuri ili ichukue hatua ulipwe fidia!

Hilo nalo hulijui?
 
hizo za kuamini sijui wapi kinafanyika au hakifanyiki nini ndio ushirikina wenyewe....

Nakushauri kuzingatia Kumuamini Mungu Pekee na utafanikiwa 🐒
Mungu namuamini sana.

Ila jua hilo nililokwambia.
 
Back
Top Bottom