ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Mzee wa Mama Tanzania 🇹🇿 😅🇹🇿🙏MBATIA Je yuko wapi gwiji la maadili.
Tunakumiss sana Mbatia.
Jitokeze ugombee hata ubunge jameni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wa Mama Tanzania 🇹🇿 😅🇹🇿🙏MBATIA Je yuko wapi gwiji la maadili.
Tunakumiss sana Mbatia.
Jitokeze ugombee hata ubunge jameni.
Technicaly yeye ndio prince, some of viongoz hawadhubutu hata kumgusaAbdul ni raia tu wa kawaida mbona
Wewe kweli ni pimbi,kwamba Lissu ni muoga.Tuje kwenye hoja mezani,hapo muoga ni nani kati ya Lissu na Farhia?eti ndio mpinzani huyo🤣
unatahadharisha kusema ukweli? surely?
muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..mtu muoga kama huyo asie jasiri wa kusema Ukweli atamuongoza nani kwa mfano...
sema kweli nayo kweli ikuweka huru 🐒
Kulingana na swali jibu lilikuwa ni hilo, sasa wewe ulitaka atengeneze jibu kama wanavyofanya polisi.Kila siku hoja ni hiyo hiyo ya Abdul 🤣🤣
Anafaa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.hana konakona anafaa kuwa Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
actually kwa mpinzani kusita au kutest ujasiri wa mtu kuupokea ukweli ni udhaifu mkubwa mno,Alimtahadhalisha muuliza maswali.
Yeye kuwekwa ndani na kuwa na makes ya ajabu ajabu kazoea.
Je kwa binti kama yule anaweza misukosuko.
Jibu la mtangazaji lingekuwa 'nimejiandaa' ili yeye ashushe nyavu.
Nafikiri unapokuwa mwandishi wa habari hautakiwi kuwa muoga.actually kwa mpinzani kusita au kutest ujasiri wa mtu kuupokea ukweli ni udhaifu mkubwa mno,
kuna watu wamerudi nyuma na kua na mashaka na uthubutu na uwezo wa huyo muungwana kuhusu rushwa, inaonekana kwake rushwa ni negotiable haina shida japo anaweza tu kulalamikia bila kujulikana anamlalamikia nani 🐒
Mbona alishatamka mara kadhaa "Abduli Mtoto wa Mama" na kama ni "kuropoka" kwanini WASIKANUSHE?!Kama ni muwazi mwambie atamke hivi, "Mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan
Alipohojiwa na Odemba alisema kabisa kuwa mtoto wa Rais.Mbona alishatamka mara kadhaa "Abduli Mtoto wa Mama" na kama ni "kuropoka" kwanini WASIKANUSHE?!
"Abduli Mtoto wa Mama" inamaanisha nini?Mbona alishatamka mara kadhaa "Abduli Mtoto wa Mama" na kama ni "kuropoka" kwanini WASIKANUSHE?!
Mwenye mamlaka ya kushtaki katika kesi za jinai ni Jamuhuri, yeye kalalamika ni jukumu la Jamuhuri kuchukua hatua!actually kwa mpinzani kusita au kutest ujasiri wa mtu kuupokea ukweli ni udhaifu mkubwa mno,
kuna watu wamerudi nyuma na kua na mashaka na uthubutu na uwezo wa huyo muungwana kuhusu rushwa, inaonekana kwake rushwa ni negotiable haina shida japo anaweza tu kulalamikia bila kujulikana anamlalamikia nani 🐒
Mama mbwa!😂😂😂"Abduli Mtoto wa Mama" inamaanisha nini?
Inamaanisha "Abduli Mtoto wa Mama" aliyeenda NYUMBANI KWA LISSU KWA LENGO LA KUMPA RUSHWA."Abduli Mtoto wa Mama" inamaanisha nini?
Kweye kipindi medani za siasa alimsema mtoto wa Raisi samia. Alisema baada ya yeye Abduli kusema mama analalamika kuwa Lissu hajamuandikia barua ya madai yake"Abduli Mtoto wa Mama" inamaanisha nini?
unalalamikia nini na unamlalamikia nani wap 🤣Mwenye mamlaka ya kushtaki katika kesi za jinai ni Jamuhuri, yeye kalalamika ni jukumu la Jamuhuri kuchukua hatua!
Inawezekana wewe siyo raia wa nchi hii! Kwa mujibu wa sheria za nchi hii ukimfumania njemba na mke wako unatakiwa kwenda kulalamikia Jamuhuri ili ichukue hatua ulipwe fidia!unalalamikia nini na unamlalamikia nani wap 🤣
uoga ni umaskini wa kiwango cha juu sana aise..
Aisee!Inamaanisha "Abduli Mtoto wa Mama" aliyeenda NYUMBANI KWA LISSU KWA LENGO LA KUMPA RUSHWA.
Mungu namuamini sana.hizo za kuamini sijui wapi kinafanyika au hakifanyiki nini ndio ushirikina wenyewe....
Nakushauri kuzingatia Kumuamini Mungu Pekee na utafanikiwa 🐒