Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwa aina na kiwango cha uoga anachokionyesha huyo muungwana, ni dhahiri pasina shaka yoyote, Lazima atakua ni raia wa ubeligiji tu huyo, haInawezekana wewe siyo raia wa nchi hii! Kwa mujibu wa sheria za nchi hii ukimfumania njemba na mke wako unatakiwa kwenda kulalamikia Jamuhuri ili ichukue hatua ulipwe fidia!
Hilo nalo hulijui?
hakuna haja ya kujificha kwenye sheria kana kwamba kwenye chama chake hakuna sheria juu ya mambo haya anayoyalalamikia kwa muda mrefu bila kuchukua hatua 🐒