Dada alikuwa analinda ugali wake na ugali wa wengine ndani ya IPP Media.Kumbe dada anahoji huku anae upande fulani
Hao akina Lisu huwa wanafunguka mpaka TV zinazimwa
Ni vizuri alimtahadharisha ingawa saa100 anamjua sana wala hapati nae shida
eti ndio mpinzani huyo๐คฃTundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali ajiandae. Farhia akala kona kwa kuhofia majibu magumu ambayo Tundu Lissu angeyatoa.
Ngoja nikupe ushauri mlwa kabisa.Abdul mwenye namba yake nataka ajira yoyote
Unataka mpinzani yupi, Zitto. Hivi bado yupo au kahama nchi?eti ndio mpinzani huyo๐คฃ
unatahadharisha kusema ukweli? surely?
muoga siku zote ni muongo tru kama hivyo..
sema kweli nayo kweli ikuweka huru ๐
kiongozi tena mpinzani ni Lazima awe jasiri, na haogopi kusema ukweli, sasa jitu joga kama hilo kweli litaongoza nini sasa ๐Unataka mpinzani yupi, Zitto. Hivi bado yupo au kahama nchi?
Huoni uoga ulipo? Mama yako anayo hofu kubwa sana sasa hivi; nanyi hamtoi msaada wowote, mmejawa na hofu hiyo hiyo aliyo nayo mwajili wenu.kiongozi tena mpinzani ni Lazima awe jasiri, na haogopi kusema ukweli, sasa jitu joga kama hilo kweli litaongoza nini sasa ๐
anamuogopa mwenyekiti wa chama chake kuhusu hiyo hiyo rushwa lakini anaogopa hadi anao watuhumu kwa rushwa wasio wa chama chake.?..
uoga gani huo?
uoga ni umaskini mbaya sana, ni sawa na kuomba omba kuchangiwa tu ๐
mnamsifia kiongozi wenu kibaraka kwa uoga halafu mnasingizia wengine ๐คฃHuoni uoga ulipo? Mama yako anayo hofu kubwa sana sasa hivi; nanyi hamtoi msaada wowote, mmejawa na hofu hiyo hiyo aliyo nayo mwajili wenu.
[emoji1787]mnamsifia kiongozi wenu kibaraka kwa uoga halafu mnasingizia wengine [emoji1787]